JangiliMzee

JangiliMzee Legal Aid to our society

19/02/2026

VIJANA TUYAJENGE,TANZANIA NI YETU SOTE

19/02/2026

WIZARA NANE ZANUFAIKA NA BILIONI 200 ZA MAMA

Msaada wa Kisheria ndio nguzo kuu ya kuwasaidia watu wenye changamoto au migogoro ambayo suluhisho lake limepoteza matum...
07/01/2026

Msaada wa Kisheria ndio nguzo kuu ya kuwasaidia watu wenye changamoto au migogoro ambayo suluhisho lake limepoteza matumaini

07/01/2026

23/12/2025

BIMA YA AFYA KWA WOTE KUANZA JANUARI 2026

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema serikali itaanza kutekeleza mpango wa Bima ya Afya kwa wote ifikapo Januari 2026 ikiwa ni sehemu ya ahadi za Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku 100, aliyotoa kwenye kampeni zake za uchaguzi mkuu.

Amesema zoezi hilo litaanza na makundi mahsusi ambayo yamewekewa kipaumbele ikiwa ni pamoja na Watu wasiyo na uwezo, watoto na akina mama wajawazito.

Katika hatua nyingine, Dkt. Nchemba amesema maelekezo ya Mhe. Rais Samia yameanza kufanyiwa kazi, ikiwemo marufuku ya kuzuia miili ya marehemu hospitalini kwa sababu ya kutokukamilisha malipo ya matibabu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua  Mhe. Dkt Dorothy Gwajima kuwa Waziri Wa Maende...
17/11/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe. Dkt Dorothy Gwajima kuwa Waziri Wa Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum.

Uteuzi huo umetangazwa leo Novemba 17, 2025 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Omar kuwa Waziri Fedha.Uteuzi huo...
17/11/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Omar kuwa Waziri Fedha.

Uteuzi huo umetangazwa leo Novemba 17, 2025 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

20/08/2025

Uzalendo si tu kuwa na upendo kwa nchi yako, bali pia kushiriki kikamilifu katika masuala ya kitaifa. Kupiga kura ni njia moja ya kudumisha umoja na amani katika taifa.

20/08/2025

Kila mtu anapotumia haki yake ya kupiga kura, anajenga misingi ya taifa lenye amani, maendeleo, na demokrasia. Hii inajumuisha kupinga uongozi mbovu na kuunga mkono mabadiliko chanya.
✅✅

20/08/2025

Demokrasia haikamiliki bila ya ushiriki wa wananchi. Kura yako inatoa mchango katika uundaji wa serikali, uchaguzi wa viongozi, na mabadiliko katika sheria na sera zinazohusiana na maisha yako ya kila siku.

20/08/2025

Kila raia ana jukumu la kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya nchi.

Address

Hanang
Manyara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JangiliMzee posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share