Munira Madrasa and Islamic Propagation Center

Munira Madrasa and Islamic Propagation Center

Comments

Mashallah
ASALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATU
mambo ya dini
wap inapatikana

Ni Taasisi ya Kiislamu inayojishughulisha na Utoaji wa Elimu na kuisadia Jamii inayo tuzunguka.

SHEIKH:MUSSA KUNDECHA/NEEMA YA UONGOFU{MUHADHARA 1443} 14/08/2021

SHEIKH:MUSSA KUNDECHA/NEEMA YA UONGOFU{MUHADHARA 1443}

SHEIKH:MUSSA KUNDECHA/NEEMA YA UONGOFU{MUHADHARA 1443} #MTORO #MUHADHARA #lIVE

SHEIKH ISSA OTHMAN MADHARA YA KUVUNJA AHADI {MUHADHARA 1443} 12/08/2021

SHEIKH ISSA OTHMAN MADHARA YA KUVUNJA AHADI {MUHADHARA 1443}

MAKARIBISHO YA MWAKA MPYA WA KIISLAM 1443

SHEIKH ISSA OTHMAN MADHARA YA KUVUNJA AHADI {MUHADHARA 1443} #MASJID_QIBLATAIN #MUHADHARA #MWAKAMPYA_1443

10/08/2021

HAPPY ISLAMIC NEW YEAR 1443

Taasisi ya Munira Islamic Propagation Centre ya Magomeni Makuti, ina watakia Waislamu wote Duniani KHERI ya Mwaka Mpya wa Kiislam 1443

Muhimu ni kuzingatia Falsafa ya Hijrah

Pamoja na hayo tukumbuke kwamba, kuingia mwaka mpya, ni Ishara ya kupungua Umri wetu, hivyo basi Tufanye Juhudi ya kukithirisha mema sanjari na kufanya bidii ya kuepuka Maovu.

WAKULLU A'AMIN WAANTUM BIKHAYR

24/05/2021

INNAA LILLAAH WAINNAA ILAYHI RAAJI'UUN

Taasisi ya Munira Madrasa and Islamic Center tumepokea kwa Huzni na msh*tuko mkubwa taarifa za kufariki kwa sheikh Shaaban Abdi M***a wa Mombosa.

Kwetu ni pigo kutokana na maarifa mapana aliyo kuruzuku Allaah nawe kuyatumia pasi na khiyana.

Tutakukumbuka kwa mengi ikiwemo uwepesi wako wa kutuitikia pale tulipokuwa na jambo.

Lakini pia yapo ambayo ulitushauri nasi kuyabeba kwa mikono miwili.

Ulikubali kuwa mlezi wetu wa kifikra na Al hamdu liLLAAH, kwa hill tumefaidika kwa uchache wake.

Miongoni mwa aliyo kuruzuku Allaah ni pamoja na ufasaha na namna ya kuitawala MIC pale unapo zungumza, kiasi cha kumshibisha msikilizaji pasipo kutumia nguvu kubwa.

Kwa hakika ni huzni kwa wanao penda elimu.

Allaah akurehemu.

Allaah akupe kauli thaabiti

Allaah akusamehe

Na Allaah awape subra wote walioguswa na msiba huu.

Ni kwa hakika, sote tutarejea kwake.

Mukhtaar Juma _ Shahru Swiyaam 14/04/2021

Mukhtaar Juma _ Shahru Swiyaam

Pakua KASWIDA yote kupitia link hii

https://youtu.be/CRVklblPHyo

Mukhtaar Juma _ Shahru Swiyaam #moresubcribers2019 #moreviews2019 #growyourchannel#ramadhan #ramadan #QASDA #QASWIDAFazaramu Crew inamtambulisha kijana wao Mukhtaar Juma ktk Qaswida ya uju...

14/04/2021

KASWIDA; SHAHRU SWIYAAM

https://youtu.be/CRVklblPHyo

19/03/2021

PONGEZI MAALUM

Taasisi ya Munira Madrasa,kwa moyo mkunjufu, inakupongeza Mama SAMIA SLUHU HASSAN kwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunaamini Utaitumikia nafasi hiyo kwa weledi, nguvu, juhudi bidii na uadilifu huku HEKIMA na BUSARA ukizipa nafasi yake.

Tunakuombea ALLAH akupe subra katika uwajibikaji wako na akuweke mbali na maadui zako.

Mungu ibariki Tanzania.

SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Taasisi ya MUNIRA MADRASA ya magomeni makuti Jijini Dar es salaam, imehuzunika na kustushwa kwa kifo cha Dr John Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea March 17/2021.

Taasisi inatoa salami za Rambirambi kwa Familia, ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wote kwa msiba mzito uliotufika.

Bila shaka tutakukumbuka kwa mengi uliyotufanyia..

Tunaimani, ALLAAH atakuweka mahala stahiki.

MUNIRA_URITHI Official Audio 07/03/2021

MUNIRA_URITHI Official Audio

MUNIRA_URITHI Official Audio #moresubcribers2019 #moreviews2019 #growyourchannelUjumbe toka kwa madrasat Munira ya kidugalo street Magomen Makuti qasda inaeleze juu ya wanandugu wenye ta...

MUNIRA_URITHI Official Audio 05/03/2021

https://youtu.be/Tdw4tYX-z4M

MUNIRA_URITHI Official Audio #moresubcribers2019 #moreviews2019 #growyourchannelUjumbe toka kwa madrasat Munira ya kidugalo street Magomen Makuti qasda inaeleze juu ya wanandugu wenye ta...

17/02/2021

INNAA LILLAAH WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN

Taasisi ya MUNIRA MADRASA ya Magomeni Makuti Dar es Salaam , imepokea kwa huzni kubwa taarifa za KIFO cha mzee wetu, maalim SEIF Sharif Hamad ambaye alikuwa Makamu wa kwanza wa RAIS wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar

Taasisi itamkumbuka marehemu maalim Seif kwa mchango mkubwa kwa wananchi wa Zanzibar na watanzania kwa ujumla.

Taasisi inawapa pole familia, ndugu, jamaa, matafiki na wapenzi wa maalim Seif

Inawaomba wawe na subra katika kipindi hili kigumu.

Allaah umsamehe madhambi yake kwani wewe ni mwingi wa msamaha.

Allaah mrehemu mja wako, hakika wewe ni mbora wa kurehemu

[01/11/21]   ......MAISHA GANI HAYA....

COMMING SOON

13/12/2020

Mtugala Media Group

SHEIKH ISSA OTHMAN: "USIPOJIANDAA KUKABILIANA NA MABADILIKO, MABADILIKO YATAKUPELEKA YANAPOTAKA"

Waisamu nchini Tanzania wametakiwa kuendana na kasi ya mabadiliko yaliyopo.

Hayo yamesemwa na Sheikh Issa Othman ambaye ni Imam mkuu wa Msikiti wa Ma'amuor uliopo Upanga Jijini Dar es salaam.

Akiongea katika Hadhara ya Maulid iliyo andaliwa na Madrasatul Mujitahida ya Magomeni Jijini Dar es salaam, Sheikh Issa (M***i London) alisema mabadiliko tunayo ya shuhudia hayakwepeki kwa namna yoyote, hivyo ni lazima twende nayo sambamba.

" Ukiangalia mtaani kwako toka unakuwa hadi sasa utaona mabadiliko mengi, ukiangalia upande wetu wa dini kuna mabadiliko mengi, wazazi wa watoto wetu wa Madrasa waliopita si wazazi wa sasa, ni lazima tujipange vizuri kukabiliana na mabadiliko haya" Alisema Sheikh Issa.

Alitahadharisha kwa kusema " Tusidharau jambo hili hata kidogo, kwa sababu, usipo jiandaa kukabiliana na mabadiliko, mabadiliko yatakulazimisha kukupeleka yanapotaka" Mwisho wa kunukuu.

Aidha alisema hata Madrasa zetu zinaweza zikabaki tupu bila ya wanafunzi iwapo tutashindwa kujipanga kukabiliana na mabadiliko.

Sheikh Issa hakusita kutoa mifano mbali mbali ikiwemo baadhi ya watu kukimbilia porini huku wakiacha mitaa yao walioishi ambayo kwa sasa imenawiri kwa barabara za Lami, hii ni kwa sababu hawakujiandaa na mabadiliko yanayo endelea.

Katika hadhara hiyo iliyo fana, watu na Masheikh mbalimbali wali hudhuria akiwemo sheikh Muharram Mziwanda na Sheikh Shaaban Abdi m***i wa Mombasa nchini Kenya.

30/11/2020

Al hamdu Lillaah

Jambo limepita kwa amani.

Al akhy Abdulmangushi Hassan Dalali, kwanza tunakupongeza kwa kufunga NDOA na yule ambaye, moyo wako umemridhia.

Pili nikukumbushe kwamba, wewe mwenyewe umetimiza wajibu wako wa kuoa.

Wazazi nao wametimiza wajibu wao wa kukusimamia hadi ukafunga NDOA.

Nasi wana MUNIRA tumetimiza wajibu wetu wa kuungana nawe KATIKA tukio hili muhimu na la kihistoria kwako, kwa ujumla wake tuna wajibu wa kumshukuru ALLAAH kwa kusema Al hamdu Lillaah

Lakini tambua kwamba umetimiza wajibu wa kuoa, na sasa unatakiwa kutimiza wajibu wa kuishi nae kwa wema ndani ya NDOA.

Wajibu huu umeanza pale tu baada ya kufunga NDOA.

Kwa ufupi ni vyema ufahamu, kuna kufunga NDOA, kuna sherehe wakati au baada ya kufunga NDOA, na kuna maisha ya NDOA baada ya kufunga NDOA.

Hapa ndipo mahali pekee unapopaswa kuonyesha HEKIMA, BUSARA, uvumilivu, subra, huruma, upendo nk.

Hakiksha unatengeneza mazingira mkeo asijutie chaguo lake kwako, lakini pia malezi na matendo yako kwa mkeo yatoe tafsiri sahihi kwamba hukubet kuchagua Bali ulikuwa na uyakini na maamuzi yako.

Hatutoacha kukuombea kila la kheri KATIKA maisha YENU ya NDOA yaambatane na kizazi chema huku nyinyi na kizazi chenu muwe mstari wa mbele KATIKA kumtumikia ALLAAH kwa Yale anayo yaridhia.

youtube.com 24/10/2020

SHEKH MUHAMMAD IDD AMREKEBISHA SHEKH WA MKOA ALHAD MUSA

youtube.com

24/10/2020

Mtugala Media Group

MWANAMUZIKI ABADILI DINI

Jana Octoba 23, 2020 mwanamuziki wa BongoFleva Ben poul ametangaza kubadili dini na kuwa muislamu

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, BenPol ameweka taarifa za picha zilizoambatana na nakala ya cheti cha kubadilisha dini

Awali Ben Pol alikuwa akitumia jina la Bernard Paul na sasa anatambulika k**a Behnam.

16/10/2020

Mtugala Media Group

BAKWATA YAKEMEA KAMPENI KATIKA NYUMBA ZA IBADA

Baraza za Ulamaa BAKWATA Taifa chini ya Mwenyekiti, M***i Sheikh Abubakar Zubeir Mbwana ambaye pia ni Sheikh Mkuu wa Tanzania limetoa maelekezo kutokana na yanayojitokeza katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu

Limewasihi Viongozi wa Dini kubaki kuwa wasuluhishi na wapatanishi wa jamii inayowahusisha wafuasi wa vyama na wasio na vyama

Pia limewataka Viongozi wote wa Baraza kutofanya Kampeni, hasa katika nyumba za ibada, na wanaoenda kinyume na mafundisho ya Uislamu na maadili ya BAKWATA watachukuliwa hatua za kinidhamu

Aidha, limewataka Waislamu kuiombea nchi ili Uchaguzi Mkuu upite salama na kwa amani

14/10/2020

TAASISI YA MANIRA MADRASA, INAWAPA POLE WALE WOTE WALIO ATHIRIKA NA MAAFA YALIYO SABABISHWA NA MVUA KUBWA ILIYO NYESHA JANA.

TUNA MUOMBA ALLAAH AWAPE NGUVU NA FARAJA YA HARAKA

PIA TUNAWAOMBA WAATHIRIKA HAO WAWE NA SUBRA NA IMANI KATIKA KIPINDI HIKI.

AIDHA TUNA TOA WITO KWENYE NAFASI, KUWASAIDIA WAATHIRIKA HAWA KWA MUJIBU WA UWEZI WA MTU.

TUZIDI KUMUOMBA ALLAAH ATUEPUSHE NA KILA YA AINA YA MABALAA NA MAJANGA.

07/10/2020

HAWA NDIYO WATU WANNEAMBAO HAWAPATI KHASARA YOYOTE KWAKO

07/10/2020

TUKITHIRISHE DUA HII

07/10/2020

TUJIHADHARI NA SHIRKI

07/10/2020

BAADA YA KUTAWADHA, NI VYEMA UYASEME HAYA

07/10/2020

MJA, USIPITWE NA HILI

14/09/2020

INNAA LILLAAH WAINNAA ILAYHI RAAJI'UUN

Taasisi ya MUNIRA Islamic Propagation Association ya magomeni makuti Jijini Dar es salaam, imepokea kwa huzuni kubwa taarifa ya vifo vya wanafunzi wapatao kumi wa shule ya BYAMUNGU ISLAMIC iliyopo Bukoba.

Vifo hivyo vilivyo sababishwa na ajali ya moto iliyotokea mapema Leo, vimetuachia maumivu makali huku maswali yakizidi kutuandama juu ya muendelezo wa ajali za moto katika mashule hapa nchini.

Taasisi inawapa pole wazazi, ndugu, jamaa, walimu na watanzania kwa ujumla.

Tasisi inatoa wito kwa mamlaka husika kufuatilia kwa kina kujuwa vyanzo vya ajali hizi na hatua stahiki zichukuliwe ikiwemo kudhibiti majanga haya.
.
Taasisi inamuomba ALLAAH awape subra na ujira mnono wafiwa wote.

ALLAAH awasamehe na awarehemu

25/08/2020

Quran Muongozo Wangu

Ma shaa Allah sikilizen usomaji wake wa Quran Tukufu Allah amlipe kheri

13/05/2020

INNAA LILLAAH WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN

TUNAKUKUMBUKA KWA MENGI SHEIKH ISMAIL MUHAMMAD

ALLAAH AKUPE KAULI THABIT

AKUSAMEHE NA KUKUHURUMIA

13/05/2020

INNAA LILLAAH WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN

Wana MUNIRA madrasa tunakukumbuka kwa mengi

ALLAH AKUPE KAULI THAABITI

NA AKUSAMEHE NA KUKUHURUMIA

06/05/2020

Mtugala Media Group

SHEIKH SULEYMAN KILEMILE AFARIKI DUNIA

INNAA LILLAAHI WA INNAA ILAYHI RAAJI'UN.

Kwa huzuni na masikitiko makubwa tumepokea taarifa za kufariki dunia Mwanachuoni Mkubwa wa Tanzania na Afrika Mashariki, Sheikh Suleiman Amran Kilemile.

Umauti ulimfikia Sheikh usiku wa Leo Tarehe 06 May 2020, Katika Hospitali ya Sinza Dar es Salaam Baada ya Kuzidiwa na Sukari na baada ya kuwa mgonjwa kwa muda.

Maiti kwa sasa ipo Masjid Thaqafa - Tandika , Kuiandaa kwa ajili ya kuzikwa.

Kifo cha Sheikh Kilemile ambae ni miongoni mwa Masheikh wakubwa na wenye Elimu kubwa ni pigo na pengo jengine kubwa mno katika uwanja wa elimu ya Kiislamu na DA'AWAH sio tu Tanzania , bali Afrika Mashariki na ulimwengu mzima wa Kiislamu kwa kuwa alikuwa mahiri katika kila fani miongoni mwa fani za Kiislamu.

Ameandika na kutafsiri vitabu kadhaa na kutoa mamia k**a sio maelfu ya wanafunzi mahiri wengi na Sheikh ni mmoja wa Masheikh wachache waliotoa Darsa muda mrefu katika Msikiti wa Chihota - Tandika miaka ya Themanini.

06/05/2020

https://www.facebook.com/1699300833434038/posts/3202199629810810/?app=fbl

24/04/2020

AHLUL MUNIRA WANAWATAKIA KILA LA KHERI KATIKA MWEZI HUU WA RAMADHAN

UJUMBE;
MWEZI WA RAMADHAN NI FURSA, BASI TUITUMIE VYEMA

02/04/2020
30/03/2020
28/03/2020

Videos (show all)

TUSIUOGOPE UGONJWA, TUMUOGOPE MUUMBA
...HAKI YANGU (URITHI) HAWATAKI KUNIPATIA
MOYO WANGU WANIUMA NASHINDWA KUVUMILIA.......
HAKI HAIFICHWI Tazama Mchungaji akifichua Siri
ADABU ZA KULA

Location

Category

Telephone

Address

Kidugalo Str
Magomeni