Casfeta - Tayomi Mbeya Polytechnic college - MPC

Casfeta - Tayomi Mbeya Polytechnic college - MPC Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Casfeta - Tayomi Mbeya Polytechnic college - MPC, College & University, Katumba, Kyela.

22/01/2026

Maombolezo 3:22-23
[22]Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
It is of the LORD'S mercies that we are not consumed, because his compassions fail not.
[23]Ni mpya kila siku asubuhi;
Uaminifu wako ni mkuu.
They are new every morning: great is thy faithfulness.

11/01/2026

Biblia. Yakobo 5:19-20
[19]Ndugu zangu, ikiwa mtu wa kwenu amepotelea mbali na kweli, na mtu mwingine akamrejeza;
Brethren, if any of you do err from the truth, and one convert him;
[20]jueni ya kuwa yeye amrejezaye mwenye dhambi hata atoke katika njia ya upotevu, ataokoa roho na mauti, na kufunika wingi wa dhambi.
Let him know, that he which converteth the sinner from the error of his way shall save a soul from death, and shall hide a multitude of sins.

2 Timotheo 2:15[15]Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia k...
10/01/2026

2 Timotheo 2:15
[15]Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli.

Check out 0692652451’s post.

10/01/2026

Yeremia 29:11
[11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
For I know the thoughts that I think toward you, saith the LORD, thoughts of peace, and not of evil, to give you an expected end.

10/01/2026

2 Mambo ya Nyakati 7:14
[14]ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

If my people, which are called by my name, shall humble themselves, and pray, and seek my face, and turn from their wicked ways; then will I hear from heaven, and will forgive their sin, and will heal their land.

26/12/2025
26/12/2025

CASFETA MPC Mungu mwema tunaendelea kuuwasha moto. Yesu kristo anaendelea Kututumia kila iitwapo leo. Karibu sana CASFETA MPC na Mungu awabariki sana.

Waebrania 11:1[1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Now faith is the ...
18/12/2025

Waebrania 11:1
[1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Now faith is the substance of things hoped for, the evidence of things not seen.

Address

Katumba
Kyela

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Casfeta - Tayomi Mbeya Polytechnic college - MPC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share