Itope Secondry School

Itope Secondry School shule ya SeKondari Kyela ilianzishwa mwaka 1977, Wilaya ya Kyela ikiwa chini ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Ni shule ya kwanza ya binafsi wilayani humo. Ilipofika mwaka 1998 ilibadilishwa jina na kuitwa Itope Sekondari

27/08/2021

Ndugu zangu wapenda maendeleo nimefungua facebook account hii kwa ajili ya kunikutanisha mimi na marafiki zangu duniani hata hivyo pamoja na kuwa raia wa kawaida wa Tanzania napenda kuwafahamisha kuwa mimi pia ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Itope wilayani Kyela.
Hivi karibuni wanafunzi waliosoma hapo shuleni kati ya 1980-1983 walitutembelea shuleni kutaka kujua maendeleo ya shule yao. Tuliwaelezea pamoja na mambo mengine changamoto zinazoikabili shule ambazo uchakavu wa majengo, ukosefu wa staff room, kukosekana kwa motisha kwa walimu na wanafunzi, kukosekana kwa mashine ya kurudufu na mengine ya msingi. Makadirio ya gharama ni k**a milioni 50. Wameanza kumhamasisha kila mtanzania kuchangia na wote waliosoma Kyela sekondari ambayo sasa ni Itope Sekondari na wananchi wote kwa ujumla. wanataka kuja shuleni kuanzia tarehe 23 Disemba 2021 mpaka tarehe 1/1/2022 kufanya ukarabati.
wamefungua akaunti kwa ajili ya changizo hili ambayo ni :-
Akaunti namba:261204000273
Jina la Akaunti:Itope Secondary School
Jina la Benki:Tanzania Postal Bank
Nimefungua pia page mahususi kwenye account yangu hii mnaweza kutembelea kupata habari za changizo la shule yenu.
Asante,
Rehema Mwaipaja-0784 361 166
Mkuu wa Shule
Shule ya Sekondari Itope
S.L.P. 50
Kyela

Address

P. O. Box 50
Kyela

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Itope Secondry School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Itope Secondry School:

Shortcuts

Share

Category