17/01/2023
UNIT NETWORK INATUTE TUNATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA INTAKE YA JANUARY 2023
KWA KOZI ZA ASTASHAHADA KATIKA FANI ZA:-
1.Tourism
2.Records Management
3.Information Technology
4.Hotel Mnagement
5.Secretarial Course
6.Business operation
Pamoja na kozi za muda mfupi ikiwemo Computer,Graphics design,Housekeeping,Food production,Food beverages na Front Office.
Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu ili kumuwezesha kila mmoja kulipa.
Huduma za hostel kwa wale wanaotokea mbali zipo kwa gharama ya Tsh 30,000/= tu
Form za kujiunga zinapatikana kwa Tsh 10,000/= utatumiwa tutafute kwa whatsapp kupitia link hii http://wa.me/+255695235952 au fika chuoni Kimara mwisho jirani na TPB Bank
KWA MAWASILIANO ZAIDI +255687647794/67657647794