Moshi Institute Of Technology

Moshi Institute Of Technology TANGAZO LA KOZI ZA UFUNDI KWA MUHULA WA SEPTEMBER -OCTOBER

KARIBU KITUO CHA HUDUMA ZA KIMTANDAO NA INTERNET.TUPO HIMO MJINI –STENDI KUU YA MABASI GOROFA YA 2 WASILANA NASI KWA HUD...
29/10/2024

KARIBU KITUO CHA HUDUMA ZA KIMTANDAO NA INTERNET.TUPO HIMO MJINI –STENDI KUU YA MABASI GOROFA YA 2
WASILANA NASI KWA HUDUMA YEYEOTE NA POPOTE ULIPO—
SIMU:0755767000/0717157640/0676179225

Hii ni maalumu kwa wahitimu watarajiwa wote wa form 4,kuwa Chuo Cha Moshi Institute of Technology tutaendesha mafunzo ya...
21/10/2024

Hii ni maalumu kwa wahitimu watarajiwa wote wa form 4,kuwa Chuo Cha Moshi Institute of Technology tutaendesha mafunzo ya kozi maalumu zitakazo chukua miezi 2 hadi 6. Chuo kipo Moshi Mjini OPP-UHURU PARK jirani na Kilimanjaro Hospital.
Tupigie kwa simu namba 0756020696/0685907786

TUMEFUNGUA MUHULA MPYA WA MAOMBI YA MASOMO YA USHONAJI OCTOBER  INTAKE 2024MIT tunatoa kozi za kushona za muda mfupi kat...
08/10/2024

TUMEFUNGUA MUHULA MPYA WA MAOMBI YA MASOMO YA USHONAJI OCTOBER INTAKE 2024

MIT tunatoa kozi za kushona za muda mfupi katika ngazi zifuatazo
1. Beginner Course
2. Intermediate Course
3. Masterclass

Jiunge nasi kwa darasa laOctober 2024 tukufungulie Dunia ya fashion.

FOMU ZA KUJIUNGA NA October INTAKE 2024 ZINAPATIKANA CHUONI
➡️ Darasa linaaza kila mwazoni mwa mwezi
➡️Hosteli zipo kwa wanafunzi wanao toka mbali

Kwa maelezo zaidi piga /whatsapp 0678093637/0754469894 /0717157640

Bado udahili wa wanafunzi wapya unaendelea, karibu utume maombi ya kujiunga na chuo chetu MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY....
08/10/2024

Bado udahili wa wanafunzi wapya unaendelea, karibu utume maombi ya kujiunga na chuo chetu MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY. Tufikie kupitia www.mit.tareo-tz.org au tupigie simu 0756020696/0685907786

Je, umetafuta ni chuo gani kinafaa kwa kozi yenye kukupa ajira na umekosa basi Chuo Cha Moshi Institute of Technology nd...
30/09/2024

Je, umetafuta ni chuo gani kinafaa kwa kozi yenye kukupa ajira na umekosa basi Chuo Cha Moshi Institute of Technology ndio jibu lako karibu utume maombi. Tuma maombi kupitia www.mit.tareo-tz.org au tupigie kwa simu namba 0756020696/0685907786

Bado tunaendelea kudahili wanafunzi wapya, karibu sasa ujiunge na chuo kwa kozi zenye kukupa ujuzi na mwanga wa Ajira. H...
27/09/2024

Bado tunaendelea kudahili wanafunzi wapya, karibu sasa ujiunge na chuo kwa kozi zenye kukupa ujuzi na mwanga wa Ajira. Hujachelewa bado. Pia unaweza tutembelea kwenye Website yetu www.mit.tareo-tz.org Au Tupigie kwa simu namba 0756020696/0678093637/0685907786

TEAM YA WASHINDI Na pia chuo kinatoa mafunzo ya muda mfupi  na yenye AJIRA;• Mafunzo ya awali ya Computer (Awere course)...
26/08/2024

TEAM YA WASHINDI
Na pia chuo kinatoa mafunzo ya muda mfupi na yenye AJIRA;
• Mafunzo ya awali ya Computer (Awere course)
• Mafunzo ya uhasibu kutumia computer (Computerized accounting with Quickbook/Tall).
• Web designing and hosting (utengenezaji tovuti na blogs)
• Computer maintenance & Networking(Ufundi computer.
• Database and programming.
• Ususi na urembo (miezi 3)
• Ushonaji wa nguo na kudizaini (miezi 6)
• Upambaji wa kumbi (miezi 2)
• Uokaji wa keki (mwezi 1)
• Ufumaji wa masweta kwa mashine (miezi 2)
• Kudarizi (miezi 2)
• Utumiaji kompyuta (miezi 3)
TUPO MOSHI MJINI jengo la TCGA, gorofa ya 1) TUNATAZAMANA NA UHURU PACK
HOSTELI ZIPO KWA WAVULANA NA WASICHANA:
FORM ZINAPATIKANA MTANDAONI-AU KWA whatsap no 0717157640
KWA MAWASILIANO ZAIDI: MKUU WA CHUO 0678093637 /0754469894

Chuo cha Moshi Institute of Technology kinawakaribisha watanzania wote kujiunga na mafunzo katika kozi zilizoainishwa ha...
14/08/2024

Chuo cha Moshi Institute of Technology kinawakaribisha watanzania wote kujiunga na mafunzo katika kozi zilizoainishwa hapo chini kwa Ada nafuu sana. Tupigie 0685907786/0756020696

Tunaendelea kupokea wanafunzi kwa ngazi ya cheti katika kozi zilizoainishwa hapo chini, Kozi hizi zipo kuanzia miezi 2,6...
12/08/2024

Tunaendelea kupokea wanafunzi kwa ngazi ya cheti katika kozi zilizoainishwa hapo chini, Kozi hizi zipo kuanzia miezi 2,6 hadi Mwaka 1. Tupigie 0685907786/0756020696 Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA MUDA MREFU (1 YR) NA MUDAAUGUST 2024Mkuu  wa Chuo anawatangazia wananchi wote hususani...
08/08/2024

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA MUDA MREFU (1 YR) NA MUDAAUGUST 2024
Mkuu wa Chuo anawatangazia wananchi wote hususani vijana na jamii nzima kwa ujumla,kuwa muhula mpya wa masomo katika kozi za UFUNDI NA TEHAMA umeanza rasmi katika vituo vyake vya MOSHI MJINI NA HIMO .

Kozi zitakazo tolewa kwa mwaka 2023:

1. Computer (ICT, Maintenance, Web, Graphic)
2. Electrical na Electronics
3. Ufundi wa vifaa vya Ki-electronic)
4. Ufundi wa simu na vifaa vya umeme
5. Uhazili na uhasibu kutumia computer :
6. Uwalimu wa awali na Medium school
7. Tourism na tour guide
8. Hotel na Uhudumu wa office
9. Umeme wa majumbani
10. Ufundi cherehani na ubunifu wa mitindo
KOZI HIZI PIA ZINATOLEWA JIONI KWA WALIO MAKAZINI.
ADA IMEPUNGUZWA 20%. NA SOMO LA COMPUTER NA KIINGEREZA NI WOTE
HOSTELI ZIPO KWA WAVULANA NA WASICHANA: HUDUMA ZA CHAKULA NA USALAMA UPO.

SIFA ZA KUJIUNGA: ADA KUAZIA LAKI 2 KWA MWAKA

1. Kuanzia elimu ya MSINGI, SEKONDARI NA WALIO MALIZA VYUO.

Fomu zinatolewa chuoni au kwa simu (whatsa No 0655 241914/0717157640.
AU KWA EMAIL na gharama za form ni 10,000 na elfu 5000.

MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY TUPO MOSHI MJINI TUNATAZAMANA NA UHURU PARK (MITA 500 TOKA STENDI KUU YA MABASI MOSHI)

KWA MAWASILIANO PIGA: 0678 093637 / 0756020696/0655 241914
MKUU WA CHUO: 0754 469894 / 0717157640

Bado tunaendelea kupokea wanafunzi kwa ngazi ya cheti katika fani zilizoainishwa hapo chini. Karibuni mtume maombi, HOST...
06/08/2024

Bado tunaendelea kupokea wanafunzi kwa ngazi ya cheti katika fani zilizoainishwa hapo chini. Karibuni mtume maombi, HOSTEL zipo na Ada zetu ni nafuu sana. Tupigie 0685907786/0756020696

Karibu utume maombi ya kujiunga na chuo chetu cha MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY. Tunapokea wanafunzi kuanzia Darasa la s...
05/08/2024

Karibu utume maombi ya kujiunga na chuo chetu cha MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY. Tunapokea wanafunzi kuanzia Darasa la saba kulingana na kozi unayohitaji. Hostel zipo na ADA zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu Tupigie 0685907786/0756020696

Address

, Old Moshi
Kilimanjaro

Telephone

+255655241914

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Moshi Institute Of Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Moshi Institute Of Technology:

Shortcuts

Share

Category