24/08/2017
Wanafunzi katika fani ya magari wakiwa ktk mafunzo ya vitendo. Hii ni moja ya sifa kubwa ya chuo hiki, kwani mwanafunzi anaetoka hapa anapokelewa popote akiwa na ujuzi wa kutosha. Karibuni Malage VTC kwa elimu bora ya ufundi stadi.
MALAGE ni chuo cha ufundi kinachotoa fani unazozihitaji kwa ajili ya kujiendeleza kielimu . baadhi ya fani hizo ni Mechanics,Computer, useremala, n.k
Mwanga
Kilimanjaro
Be the first to know and let us send you an email when Malage VTC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Send a message to Malage VTC: