Mangi Wingia Secondary School

Mangi Wingia Secondary School Public Secondary School in Rombo District, published on Jan 2023. It's Co-educated school

Walimu wa Mangi Wingia Secondary School wakiongozwa na Mkuu wa shule, wakiwa  katika picha za pamoja, baada ya kuonesha ...
06/06/2025

Walimu wa Mangi Wingia Secondary School wakiongozwa na Mkuu wa shule, wakiwa katika picha za pamoja, baada ya kuonesha umoja wao katika tukio lililowaunganisha pamoja. Tukio la kusherehekea kumaliza salama muhula wa kwanza wa masomo 2025.

Rombo Dc

Ili kujenga uelewa wa somo husika, nafasi ya ubunifu ni muhimu sana katika somo husika. Mwalimu wa Basic Mathematics ame...
05/06/2025

Ili kujenga uelewa wa somo husika, nafasi ya ubunifu ni muhimu sana katika somo husika. Mwalimu wa Basic Mathematics amejaribu kutumia zana zinazopatikana katika mazingira na kuonesha wanafunzi namna ya kutumia ujuzi wa Trigonometric ratios katika pembe tatu mraba kutatua tatizo linalohusisha angle of elevation

05/06/2025

Wanafunzi wa kidato cha pili wakitumia ujuzi wa Trigonometric kutatua tatizo linalohusisha angle of elevetion Remigius Kamili Leonard Saragu Petro Paulo Ofisi ya Rais - Tamisemi Wizara ya Elimu Zanzibar

05/06/2025

Wanafunzi wa kidato cha pili wakitumia ujuzi wa Trigonometric kutatua tatizo linalohusisha angle of elevetion Remigius Kamili Leonard Saragu Petro Paulo

05/06/2025

Wanafunzi wa kidato cha pili wakitumia ujuzi wa Trigonometric kutatua tatizo linalohusisha angle of elevetion Remigius Kamili Leonard Saragu Petro Paulo

29/05/2025

Mkuu wa shule akizungumza na wanafunzi wa KIDATO CHA TATU

Wanafunzi wakiendelea na mitihani yao ya kumaliza Nusu Muhula 2025
29/05/2025

Wanafunzi wakiendelea na mitihani yao ya kumaliza Nusu Muhula 2025

25/06/2023

Welcome Mangi Wingia Secondary School , a public secondary school located at Mamsera in Rombo District

Address

Mamsera
Kilimanjaro
-3.271713,37.612160

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mangi Wingia Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category