Aman jr râpeux

Aman jr râpeux Mungu ni mwema

God is good ✅✅
03/12/2024

God is good ✅✅

Yusuph Kagoma ni 𝐌𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀.Kwa taarifa zaidi ingia kwenye Simba App.
08/07/2024

Yusuph Kagoma ni 𝐌𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀.

Kwa taarifa zaidi ingia kwenye Simba App.

🦁
07/06/2024

🦁

... 🚨 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗Shirikisho la soka Afrika (CAF) limethibitisha kuwa michuano ya Kombe la Shirikisho CAF Confederations Cu...
04/06/2024

... 🚨 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limethibitisha kuwa michuano ya Kombe la Shirikisho CAF Confederations Cup itakuweo k**a kawaida.

Tarehe za kuanza kwa michuano ya (CAF) Champins league & Confederations Cup :

◉ Aug 16 - 18 | 2024 - Preliminary round.
◉ Oct - Dec | 2024 - Group stage.
◉ Mar - May | 2025 - Knock out stage.

Dirisha la usajili wa wachezaji (CAF) litafunguliwa rasmi 1 July 2024.

Nimechagua baadhi ya vilabu vikubwa barani afrika ambavyo vitakosa nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa wa caf msimu uja...
04/06/2024

Nimechagua baadhi ya vilabu vikubwa barani afrika ambavyo vitakosa nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa wa caf msimu ujao:

• simba sc 🇹🇿
• zamalek sc 🇪🇬
• wydad ac 🇲🇦
• mimosa ya asec 🇨🇮
• rs berkane 🇲🇦
• k**a klabu ya vita 🇨🇩
• cs sfaxien 🇹🇳
• zesco united 🇿🇲
• etoile du sahel 🇹🇳
• coton sport de garoua 🇨🇲
• usm alger 🇩🇿
• primeiro de agosto 🇦🇴
• asante kotoko 🇬🇭
• mioyo ya mwaloni 🇬🇭
• stade malien 🇲🇱
• bamako halisi 🇲🇱
• wakuu wa kaizer 🇿🇦
• nyoka sc 🇺🇬
• nguvu dynamos 🇿🇲
• rayon sports 🇷🇼

ni klabu gani iliyokushtua zaidi hapa kuikosa? 🧐


Zaandaaanii👉
04/06/2024

Zaandaaanii👉

🫡🫡
04/06/2024

🫡🫡

Anaitwa Steven MukwalaAlizaliwa 15 July 1999Ana umri wa miaka 24Anacheza nafasi ya UshambuliajiStriker la magoli hilo li...
04/06/2024

Anaitwa Steven Mukwala
Alizaliwa 15 July 1999
Ana umri wa miaka 24
Anacheza nafasi ya Ushambuliaji

Striker la magoli hilo lipo ni Free agent Simba , Yanga na Zamalek wanapambana kuipata Saini yake.

Chuma hicho kutoka nchini Uganda msimu huu alikuwa nakipiga kunako Klabu ya Asante Kotoko Ya Ghana , ambapo kwenye ligi amefanikiwa kufunga magoli 13 na assist 2.

Wanasimba huyu mwamba VIPI aje au asije??Elvis lupia⚽🚨
04/06/2024

Wanasimba huyu mwamba VIPI aje au asije??
Elvis lupia⚽🚨

Simba yetu itarudi ikiwa imara 🖌️🦁💪
04/06/2024

Simba yetu itarudi ikiwa imara
🖌️🦁💪

Maandalizi yamekamilika mnyama mawindoni!!!🦁🧭
10/08/2023

Maandalizi yamekamilika mnyama mawindoni!!!🦁🧭

Address

Old Moshi
Kilimanjaro

Telephone

+255748493321

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aman jr râpeux posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share