11/10/2021
Dulla Mbabe azungumza baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya mkongomani.
Mbondia Abdallah Pazzi maarufu k**a "Dulla Mbabe" amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya bondia kutoka Congo. Dilla Mbabe amesema "Naomba radhi kwa yeyote ambae nimemkera kutokana na kupoteza mchezo wa pambano lililopita ila k**a kuna mtu anahisi kuna mahali nakosea apande yeye ulingoni". Bondia huyo ameyasema hayo alipokua akihojiwa na moja ya chombo cha habari. Una lipi la kumshauri Dulla Mbabe.....?
Usisahau kulike ukurasa huu kwa habari nyinginezo kemkem.