ELCT ND Hai Vocational Training Centre - Kilimanjaro

ELCT ND Hai Vocational Training Centre - Kilimanjaro Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ELCT ND Hai Vocational Training Centre - Kilimanjaro, Education, Bomang'ombe/Hai, Kilimanjaro.

ELCT ND HAI VOCATIONAL TRAINING CENTRE Ni chuo cha ufundi kinachomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini, chenye dhumuni la kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa wahitimu wa kidato cha nne na sifa nyinginezo.

24/11/2021

Hello

22/09/2021

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Cha HAI VOCATIONAL TRAINING CENTRE, Kilichopo wilaya ya HAI Mkoa wa KILIMANJARO, Anawatangazia vijana na wananchi wote nafasi za masomo katika fani zifuatazo katika mwaka mpya wa masomo wa mwaka 2022.

1. ELECTRICAL INSTALLATION(UMEME WA MAJUMBANI)
2. MASONRY AND BRINKLAYS(UJENZI)
3.WELDING AND FABRICATION (UCHOMELEAJI)
4. CARPENTRY AND JOINERY (USELEMALA)
5. DESIGN SEWING AND CLOTHING TECHNOLOGY (USHONAJI)
6. PLUMBING AND PIPEFITTING (UFUNDI BOMBA)
7. FOOD PRODUCTION (MAPISHI)
8. COMPUTER APPLICATION (SHORT COURSE)

Fani zote za Ufundi zinafundishwa kwa kipindi cha miaka mitatu.

Fani ya MAPISHI hufundishwa kwa miaka miwili.

Fani ya COMPUTER APPLICATION (SHORT COURSE) inachukua wanafunzi wa KUTWA NA BWENI

Chuo chetu ni cha Bweni tu kwa wasichana na wavulana

Ada zetu ni nafuu saana na hulipwa kwa awamu.

Chuo kinamazingira rafiki yakujifunza na walimu wabobezi na wenye uzefu katika Fani zote.

Usahili kwa wanafunzi wapya utafanyika mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili

Form za kujiunga na chuo zinapatikana katika ofisi za chuo HAI KILIMANJARO

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Chuo cha Ufundi HAI, Kilichopo Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, kinawatangizia nafasi za masomo kwa mwaka mpya wa maso...
22/09/2021

Chuo cha Ufundi HAI, Kilichopo Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, kinawatangizia nafasi za masomo kwa mwaka mpya wa masomo wa 2022.

Nyote mnakaribishwa.

Wanafunzi wa fani ya MAPISHI wa chuo cha ufundi HAI wakiwa na walimu wao katika mafunzo ya vitendo katika LODGE YA BOMA ...
07/05/2021

Wanafunzi wa fani ya MAPISHI wa chuo cha ufundi HAI wakiwa na walimu wao katika mafunzo ya vitendo katika LODGE YA BOMA MASAI iliyopo wilaya ya ha mkoani Kilimanjaro.

Vijana wote wakitanzania mnaendelea kutangaziwa nafasi za maosomo katika chuo chetu cha HAI VOCATIONAL TRAINING CENTRE kilichopo HAI KILIMANJARO katika fani zifuatazo
1: UMEME
2: USEREMALA
3: USHONAJI
4: UCHOMELEAJI
5: UJENZI
6: MAPISHI
FANI HIZI NI ZA MDA MREFU KUANZIA MIAKA MIWILI HADI MIAKA MITATU

WOTE MNAKARIBISHWA

07/04/2021

Chuo cha Ufundi HAI kinaendelea kuwatangazia nafasi za mafunzo ya Ufundi katika fani zifuatazo:

1 UMEME WA MAJUMBANI
2 UJENZI
3 UUNGAJI VYUMA(UCHOMELEAJI)
4 USEREMALA
5 USHONAJI
6 MAPISHI

Fani zote za Ufundi zinafundishwa kwa miaka mi tatu(3) na FANI ya MAPISHI inafundishwa kwa mda wa miaka miwili(2). ADA ZETU NI NAFUU KABSA UKILINANISHA NA ELIMU BORA INAYOTELEWA NA CHUO CHETU

MAZINGIRA NI RAFIKI NA TULIVU KWA MWANAFUNZI KUJISOMEA.

NYOTE MNAKARIBISHWA , KWA MAELEZO ZAIDI FIKA CHUONI HAI VTC WILAYA YA HAI MKOANI KILIMANJARO.

18/02/2021

UONGOZI WA CHUO CHA UFUNDI HAI, UNAENDELEA KUWATANGAZIA UMMA WOTE, KUWA NAFASI ZA MAFUNZO YA UFUNDI KATIKA NGAZI YA CHETI ZINAPATIKANA KATIKA FANI ZIFUATAZO:
1: ELECTRICAL INSTALLATION (UMEME WA MAJUMBANI)
2: CARPENTRY AND JOINERY (USEREMALA)
3: TAILORING (USHONAJU)
4: WELDING AND FABRICATION(UUNGAJI VYUMA)
5: MASONRY AND BRICKLAY (UJENZI)
6: FOOD PRODUCTION (MAPISHI)
Form za kujiunga na chuo zinapatikana office za HAI VOCATIONAL TRAINING CENTRE Wilaya ya HAI KILIMANJARO.
NYOOTE MNAKARIBISHWA

11/02/2021
11/02/2021
11/02/2021

UONGOZI WA CHUO CHA UFUNDI HAI, UNAENDELEA KUWATANGAZIA UMMA WOTE, KUWA NAFASI ZA MAFUNZO YA UFUNDI KATIKA NGAZI YA CHETI ZINAPATIKANA KATIKA FANI ZIFUATAZO:

1: ELECTRICAL INSTALLATION (UMEME WA MAJUMBANI)
2: CARPENTRY AND JOINERY (USEREMALA)
3: TAILORING (USHONAJU)
4: WELDING AND FABRICATION(UUNGAJI VYUMA)
5: MASONRY AND BRICKLAY (UJENZI)
6: FOOD PRODUCTION (MAPISHI)

Form za kujiunga na chuo zinapatikana office za HAI VOCATIONAL TRAINING CENTRE Wilaya ya HAI KILIMANJARO.

NYOOTE MNAKARIBISHWA

11/02/2021

HELLO

Address

Bomang'ombe/Hai
Kilimanjaro
25312

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ELCT ND Hai Vocational Training Centre - Kilimanjaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to ELCT ND Hai Vocational Training Centre - Kilimanjaro:

Shortcuts

Share

Category