04/12/2025
BAWASIRI {HEMORRHOIDS}
Kausha majani ya SIDA ACUTA kisha pondaponda upate unga wake .Changanya kijiko kimoja cha mezani cha unga wa majani ya mmea huo pamoja na kijiko kimoja cha mezani cha unga wa Binzari Manjano Kwenye maji ya moto .Kunywa kila siku kwa siku 14.Utapona.
Bawasiri ya nje .
Kwa ajili ya kupaka...
Pondaponda Binzari Manjano mbichi hadi iwe rojorojo kisha changanya na mafuta ya nazi.Paka rojorojo hiyo kwenye eneo la Bawasiri yako .mara mbili kwa siku. Baada ya saa moja waweza kuosha au kuoga.. fanya hivi kwa siku 5 hadi 7.
Waweza tumia zote 2 kwa wakati mmoja siyo mbaya.
Unataka Package iliyo tayari ??
Sogea Dm upokee kwa Wivu mkubwaa🗯️🀄️