Universal Daycare,pre and primary School

Universal Daycare,pre and primary School Universal daycare ,pre and primary ni shule ya msingi mchepuo wa lugha ya kingereza . Tunapokea watoto kuanzia miezi 6 kwa daycare.

Primary class 1,2,3,4
Tupo MLANDIZI -KIBAHA

01/03/2026
Shule Bora sio majengo , Bali malezi bora katika nyanja zote. Tupe mwanao 🎓Ada zetu kwa daycare/malezi ni : wasiotumia u...
02/02/2026

Shule Bora sio majengo , Bali malezi bora katika nyanja zote. Tupe mwanao

🎓Ada zetu kwa daycare/malezi ni :
wasiotumia usafiri =840,0000/= wanaotumia usafiri=1140,000/=

🎓Ada kwa nursery
wasiotumia usafiri=920,000/=
wanaotumia usafiri=1,220,000/=

🎓Ada kwa class 1,2,3,4
wasiotumia usafiri=1,160,000/=
wanaotumia usafiri =1,460,000/=

❤️Offa kwa wanafunzi wa darasa la nne watakao hamia. watalipia 700,000/= hii itajumisha kila kitu.
tupo mlandizi -kibaha

📞+255628014844
📞+255627450505

01/02/2026

Mlete mwanao akue kiakili, kihisia, kimwili na kijamii.

🎓Ada zetu kwa daycare/malezi ni :
wasiotumia usafiri =840,0000/= wanaotumia usafiri=1140,000/=

🎓Ada kwa nursery
wasiotumia usafiri=920,000/=
wanaotumia usafiri=1,220,000/=

🎓Ada kwa class 1,2,3,4
wasiotumia usafiri=1,160,000/=
wanaotumia usafiri =1,460,000/=

❤️Offa kwa wanafunzi wa darasa la nne watakao hamia. watalipia 700,000/= hii itajumisha kila kitu.
tupo mlandizi -kibaha

📞+255628014844
📞+255627450505

Mtoto anajifunza kulingana na asili yake , furaha kwake ndio amani ya Ujifunzaji wake.  karibu universal daycare , pre a...
30/01/2026

Mtoto anajifunza kulingana na asili yake , furaha kwake ndio amani ya Ujifunzaji wake.
karibu universal daycare , pre and primary school .

🦠Tunapokea watoto kuanzia watoto wadogo kwajili ya malezi (kuanzia miezi 6 )
🦠Tunapokea watoto wa nursery
🦠Tunapokea watoto wa primary .
Ada zetu ni ndogo sanaaaaa.
Shule IPO mlandizi - kibaha
+255628014844

Address

Mlandizi
Kibaha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Universal Daycare,pre and primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share