21/02/2026
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.
Mimi ni Mtakatifu wa BWANA, Mimi ni Mbarikiwa wa BWANA; Mimi sifi kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu.
Na nitahesabu Mapato yangu kwa Furaha.
Haleluya.