Onatoore Pre and Primary School.

Onatoore Pre and Primary School. Leadership-Service-Excellence Ada zetu ni nafuu na mzazi anaweza kulipa hadi mara nne kwa mwaka. KARIBUNI SANA WAZAZI WA KIBAHA katika shule yetu ya Onatoore.

Onatoore ni shule nzuri ya kisasa inayofundisha kufuata mtaala wa Tanzania kwa lugha ya kingereza (English Medium School), shule yetu ipo katika eneo la Bungo, kata ya Mkuza, wilaya ya Kibaha mkoani Pwani. Shule yetu ina walimu wa kutosha wenye weledi mkubwa wa utumishi, chumba bora cha mafunzo ya kompyuta, vitabu vya kutosha, uongozi madhubuti na huduma bora ya usafiri.

Ndg. Fedrick Msanjila, mkuu wetu wa  shule ya Onatoore. Anapenda kuwakaribisha wazazi na walezi wote wa eneo la Kibaha k...
08/05/2024

Ndg. Fedrick Msanjila, mkuu wetu wa shule ya Onatoore. Anapenda kuwakaribisha wazazi na walezi wote wa eneo la Kibaha kuleta watoto katika shule yetu ili kupata elimu bora katika mazingira safi. Ada ni nafuu na unaweza kulipa hadi kwa awamu NNE kwa mwaka. KARIBUNI SANA.

Address

30140
Kibaha

Opening Hours

Monday 07:00 - 16:00
Tuesday 07:00 - 16:00
Wednesday 07:00 - 16:00
Thursday 07:00 - 16:00
Friday 07:00 - 16:00
Saturday 08:00 - 12:30

Telephone

+255756123731

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Onatoore Pre and Primary School. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category