21/03/2026
π EID MUBARAK π
Mpendwa Mzazi wa Ufalme Schools,
Uongozi na wafanyakazi wote wa shule tunapenda kuchukua fursa hii kukutakia wewe na familia yako Eid Mubarak yenye furaha, amani na baraka tele.
Tunathamini sana ushirikiano wako na imani unayoendelea kuionesha kwetu katika malezi na elimu ya watoto wetu. Tunakuombea afya njema, mafanikio na furaha katika kipindi hiki cha sherehe.
Eid hii iwe mwanzo wa neema mpya kwako na familia yako.
Asanteni sana kwa kuwa sehemu ya familia ya Ufalme Schools.
π Eid Mubarak! π
0758119214