Ally Banda

Ally Banda Follow me on instagram
Add me facebook banda

Ukifanya mazuri 100 ukakosea 1, watu watasahau mazuri yote 100 watakumbuka kosa 1. Ukilipa marejesho  ya miezi 23 shilli...
20/03/2021

Ukifanya mazuri 100 ukakosea 1, watu watasahau mazuri yote 100 watakumbuka kosa 1. Ukilipa marejesho ya miezi 23 shillingi milioni 92 ukashindwa kulipa marejesho ya mwezi 1 shillingi milioni 4, watu watasahau milioni 92 ulizolipa, watakumbuka milioni 4 ulizoshindwa kulipa na watakuuzia nyumba yako ya shillingi milioni 300 kwa bei ya shillingi milioni 96. Ukilipa mishahara miezi 36 ukashindwa kulipa miezi 3 unafungiwa ofisini na kiwanda kinauzwa. Kwahiyo, usijidanganye kufanya vitu ili watu wakukumbuke "legacy". Sio kwa kizazi hiki cha "ubinafsi, uroho, kukosa subira na kukosa shukrani". Fanya vitu vizuri kwa moyo safi na kwa raha zako mwenyewe. Atakukumbuka Mungu wako na wachache wenye hofu ya Mungu. Wengi ukiacha, ukikosea au ukishindwa kuwapa ulichokuwa unawapa, wanatafuta mwingine wewe una "expire" na unatolewa kwenye "shelf"/ hauna "market" tena/ haulipi/hauuziki/umepoteza mvuto/-
Wahusika kwenye picha
Müslãfïd Hēlñãñdēz and Vinaya Vidheya Yarama I LOVE THEM SO MUCH
Foung PH unazungumziaje hili

Address

Mbagala Charambe
Kariakoo

Telephone

+255626265686

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ally Banda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ally Banda:

Shortcuts

Share

Category