Sumai Islamic Day Care Center

Sumai Islamic Day Care Center Education and Guidance provision

Sumai Islamic Day Care Centre inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2022. Tunatumia Kiingereza kutoa elimu na ...
12/11/2021

Sumai Islamic Day Care Centre inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2022. Tunatumia Kiingereza kutoa elimu na malezi. Tunao walimu na walezi waliobobea katika malezi na elimu kwa watoto wadogo. Ada zetu ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu nne. Kituo kimesajiliwa kwa namba 1446. Kupata fomu za kujiunga na Sumai piga sinu 06538979051

09/11/2021

Welcome at Sumai Islamic Day Care Centre

09/11/2021

Hey karibuni Sumai Islamic Day Care Centre, ADA zetu ni nafuu Sana. Piga 0653897905 kupata fomu

30/10/2021

Sumai Islamic Day Care Centre inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2022. Watoto wenye umri wa miaka 2 hadi 5, ADA zetu ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu nne. Kituo kimesajiliwa kwa namba 1446 na usafiri upo. Tunao walezi na walimu waliobobea katika malezi na elimu kwa watoto. Kupata fomu za Masomo piga au WhatsApp 0653 897905/0623507527

19/10/2021

Michezo time

19/10/2021

Sumai Islamic Day Care Center inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2022. Tunatumia Kiingereza kutoa elimu na malezi. Tunafundisha masomo ya Kiswahili, Communication, Relation, Artistic, Environmental Care, Health Care, Early Arithmetic na Elimu ya Dini ya Kiislamu. Kituo kipo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Watoto wenye sifa ya kujiunga ni wa umri wa miaka 2 hadi 5.5. Ada zetu ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu nne. Watoto wanaingia kituoni saa 1 Asubuhi Hadi saa 10 jioni. Watoto wanapata chakula Bora kila siku. Tunao walimu waliobobea katika malezi na elimu kwa watoto wadogo. Fomu za masomo zinapatikana kituoni Sumai. Kwa mawasiliano ya simu au WhatsApp 0563897905 au 0623507527. Wote mnakaribishwa

19/10/2021

Sumai Islamic Day Care Centre inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2022. Tunatumia Kiingereza kutoa elimu na malezi. Tunafundisha masomo ya Kiswahili, Communication, Relation, Artistic, Environmental Care, Health Care, Early Arithmetic, na Maarifa ya Dini ya Kiislamu. Ada zetu ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu nne. Tunao walimu waliobobea katika malezi na elimu kwa watoto wadogo. Kituo kipo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Fomu za kujiunga na masomo zinapatikana kituoni Sumai. Watoto wanaingia kituoni saa 1 Asubuhi Hadi saa 10 jioni. Watoto wanapata chakula Bora kila siku. Ewe mzazi mlete mwanao Sumai Islamic Day Care Centre apate elimu na malezi bora. Umri wa watoto ni kuanzia miaka 2 hadi 5.5. Kwa mawasiliano simu au WhatsApp 0653 897 905 au 0623 507 527. Wote mnakaribishwa.

Address

Chipuputa
Kariakoo

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 23:00 - 17:00
Saturday 00:00 - 00:00
Sunday 00:00 - 00:00

Telephone

+255653897905

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sumai Islamic Day Care Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Sumai Islamic Day Care Center:

Shortcuts

Share