18/11/2025
📢 HABARI NJEMA! 📢 HABARI NJEMA! 📢 HABARI NJEMA!
🎓 KAHAMA VOCATIONAL TRAINING CENTRE (KVTC)
📍 Ni Chuo cha mafunzo ya UFUNDI STADI kinachotoa kozi mbalimbali
🏛️ Chuo hiki kimesajiliwa rasmi na NACTVET na kinatambulika na serikali ✅
🧰 KOZI ZITOLEWAZO KWA SASA:
🔧 UCHOMELEAJI (Welding)
🪚 USELEMALA (Carpentry)
🚗 UDEREVA (Driving)
🧵 USHONAJI (Tailoring & Fashion Design)
🎀 MAPAMBO (Decorations)
💇♀️ USUSI & UREMBO (Beauty & Hair Dressing)
⚡ ELECTRICAL INSTALLATION (Umeme wa Majumbani)
🚙 MOTOR VEHICLE MECHANICS (Fundi Magari na Pikipiki)
Pamoja na UENDESHAJI WA MITAMBO MIKUBWA YA MIGODINI NA VIWANDANI
💸 ADA ZETU NI NAFUU SANA NA ZINALIPWA KWA AWAMU:
🗓️ Usajili umeanza rasmi mwezi wa 10
🕒 Utaendelea hadi mwezi DECEMBER, 2025
📄 FOMU za kujiunga zinapatikana OFISINI KAGONGWA MATAA
NYUMA YA KITUO CHA BAJAJI KARIBU NA WAUZA KUKU
📚 MASOMO YATAANZA: 🗓️ 05 / 01 / 2026
📞 KWA MAWASILIANO ZAIDI:
📲 0747 167 122 / 0693 404 556
1️⃣ 🚘 Driving — Tsh 250,000/= kwa mwezi (wiki 4)
2️⃣ 🔥 Welding — Tsh 200,000/= kwa Mwezi-1, 350,000/= kwa miezi-3
3️⃣ 🪵 Carpentry — Tsh 200,000/= kwa Mwezi-1, 350,000/= kwa miezi-3
4️⃣ 🎊 Decorations — Tsh 200,000/= kwa Mwezi-1, 350,000/= kwa miezi-3
5️⃣ 💅 Beauty & Hair Dressing — Tsh 200,000/= kwa Mwezi-1, 350,000/= kwa miezi-3
6️⃣ 👗 Tailoring & Fashion Design — Tsh 200,000/= kwa Mwezi-1, 350,000/= kwa miezi-3
7️⃣ ⚡ Electrical Installation — Tsh 200,000/= kwa Mwezi-1, 350,000/= kwa miezi-3
8️⃣ 🚙 Motor Vehicle Mechanics — Tsh 200,000/= kwa Mwezi-1, 350,000/= kwa miezi-3
Gharama za bweni Elfu Tisini (Tsh. 90,000/=miezi yote-3)
Sifa za Mwombaji ni Kuanzia Elimu ya Darasa la Saba na kuendelea Wote wanakaribishwa. Asante
📞 KWA MAWASILIANO ZAIDI:
📲 0747 167 122 / 0693 404 556
📍 CHUO KIPO: MPERA – Maeneo ya Misheni FPCT
💥 JIUNGE NA KVTC LEO! Kupata ujuzi utakaojenga maisha yako ya baadaye.
🔩 “Tengeneza Future Yako Leo Kwa Mafunzo ya Vitendo! Kutoka KVTC”