Sir K.E Nyangisa The Educator

Sir K.E Nyangisa The Educator This page likely to impart knowledge to all Tanzanian's patriots who like changes through learning a

Usually this page is intended to be the center for learning, everyone who will be impressed by this page is welcomed to share whatever he or she likes to be learnt by others for the purpose of developing positive attitudes among the readers.

For so long I hope that my followers are fine  I am back again
01/06/2025

For so long I hope that my followers are fine I am back again

25/04/2022

Faida kuu SITA za Tanzania Royal tour film or movie:
1.Kuongezeka kwa watalii
2. Kupanuka kwa masoko ya bidhaa za ndani
3.Kuongezeka kwa wawekezaji nchini
4.Kuongeza nia ya nchi wahisani kuongeza fedha za ruzuku katika miradi mikubwa ya maendeleo
5. kuboresha mahusiano kati ya nchi yetu na mataifa mengine ya nje.
6.kuongezeka kwa Patoa taifa.

13/12/2020
12/12/2020
Ni mategemeo yetu Hawa mawaziri wateule watafanya kazi nzuri ili kuleta mabadiliko chanya.
05/12/2020

Ni mategemeo yetu Hawa mawaziri wateule watafanya kazi nzuri ili kuleta mabadiliko chanya.

U T E U Z I
Mawaziri wapya 5 Disemba 2020

1.Wizara ya Maji -Juma Aweso
2.Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa
3.ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu Jenister Mhagama
4.Wazira ya Afya, maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa naibu katibu mkuu)
5.Wizara anayesimamia Uwekezaji ofisi ya Rais Mkumbo Kitilya
6.Wizara ya Katiba na sheria Mwigulu Nchemba
7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako
8.Wizara ya Mifugo na Uvuvi - Mashimba Mashauri Ndaki
9.Wizara ya Maliasili na Utalii DK Ndumbalo Damas
10.Wizara ya Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo
11.Wizara ya Madini Dotto Biteko
12.Wizara ya Nishati Dkt Medard Kalemani
13.Wizara Ujenzi na Uchukuzi mbunge mpya Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi)
14.Wizara ya Kilimo Prof.Adolph Mkenda.
15.Wizara ya Viwanda na Biashara Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Wizara ya Mambo ya ndani George Simbachawene
17.Wizara ya Muungano na Mazingara Ummy Mwalimu
18.Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari Dkt Faustine Ndugulile
19.Wizara ya Fedha Dkt Philip Mpango
20.Wizara Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Paramagamba Kabudi
21. Wizara ya Ardhi-William Lukuvi
22.Wizara ya Ulinzi na JKT Elias John Kuandikwa
23.Wizara ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Capt Mstaafu George Mkuchika

02/12/2020

"The way how human being grow intelligent differs from one person to another depending on the nature of foods a person use".

Kwa miamba hii lazima tufanikiwe tanzania
16/11/2020

Kwa miamba hii lazima tufanikiwe tanzania

12/11/2020

We are now on please use this page to learn the forthcoming issues.

12/03/2018

This page likely to impart knowledge to all Tanzanian's patriots who like changes through learning a

Address

P. O. BOX 23
Kahama
P.O.BOX23

Telephone

0767319677

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sir K.E Nyangisa The Educator posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category