Jenas English Medium Daycare

Jenas English Medium Daycare School, teaching, learning and providing advice about caring children

KARIBU JENAS ENGLISH MEDIUM DAYCARE -Tunatoa huduma ya malezi bora0625695728
25/02/2025

KARIBU JENAS ENGLISH MEDIUM DAYCARE
-Tunatoa huduma ya malezi bora
0625695728

ZIJUE FAIDA ZA MICHEZO KWA WATOTO LEO.1. Huongeza umakini na uwezo wa kufuata maelekezo.2. Huchochea ubunifu na mawazo m...
12/01/2025

ZIJUE FAIDA ZA MICHEZO KWA WATOTO LEO.
1. Huongeza umakini na uwezo wa kufuata maelekezo.
2. Huchochea ubunifu na mawazo mapya kupitia michezo ya kufikirika.
3. Huwawezesha kujifunza kushirikiana, kugawana, na kushughulikia migogoro kwa amani.
4. Huwajengea nidhamu na uvumilivu wanapojifunza kushinda au kushindwa kwenye michezo.
5. Huwasaidia kuelewa umuhimu wa sheria na kufuata kanuni.
JENAS (CHAMPION) ENGLISH MEDIUM DAYCARE tumeaandaa programu mbalimbali za watoto ili kuhakikisha watoto wanajifunza masomo ya darasani na kufurahi pamoja.
Je unaswali lolote Kuhusu
1. Malezi ya watoto?
2. Elimu ya watoto?
3. Changamoto za watoto?
ULIZA HAPA.

Karibu sana Jenas English Medium Daycare USAFIRI NI UHAKIKATupigie kupitia 0741217471074330490706128649070622929380jenas...
15/10/2024

Karibu sana Jenas English Medium Daycare
USAFIRI NI UHAKIKA
Tupigie kupitia
0741217471
07433049
070612864907
0622929380
[email protected]

Address

P. O. BOX 472
Kahama

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jenas English Medium Daycare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category