Collectors Academic Tanzania

Collectors Academic Tanzania Collectors Academic Tanzania ni darasa la online linalotoa elimu sahihi kuhusu banknotes na coins za collectors.

Tunafundisha jinsi ya kutambua, kuhifadhi, kuelewa thamani, na kuepuka taarifa za uongo au utapeli kwenye ulimwengu wa collecting.............

23/04/2026

I accepted 1 fan badge from Sithembele Tonga.

22/04/2026

With Mintu Barai – I just got recognized as one of their top fans!

16/04/2026

With Sithembele Tonga – I just got recognized as one of their top fans!

Watu wengi wameniuliza bei ya 15 rupien na hapo chini ikiwa inauzwa kwenye platform za kimataifa na hiyo ndio bei yake ;...
15/04/2026

Watu wengi wameniuliza bei ya 15 rupien na hapo chini ikiwa inauzwa kwenye platform za kimataifa na hiyo ndio bei yake ;;;;;
JE UNATAKA na wewe kuuza coin, banknotes, batiks, vitu vya shanga, vinyago na vinginevyo k**a handmade crafts na oil painting kwenye platform za kimataifa,,, follow pages yangu hayo masomo yako njiani utafuniliwa fursa Bora na utasubiri msimu wa watalii utauza mwaka mzima ,,, cha msingi follow page yangu usipitwe na fursa hizi,,,
Karibuni sana ❤️🙏

Napenda maswali ya inbox yanayojirudia nijibu hadharani ili yasijirudie na kila mtu aweze kuelewa;;;Swali: Rupia ipi ina...
14/04/2026

Napenda maswali ya inbox yanayojirudia nijibu hadharani ili yasijirudie na kila mtu aweze kuelewa;;;

Swali: Rupia ipi inahitajika?
Jibu: Rupia zote zinahitajika kwa collectors kuanzia 1/4, 1/2, 1, 2 na 15 rupia zote zinahitajika ila bei zinatofautiana na vile bei zake zinaendana kutokana na hali ya coin ilivyo.
Swali: Soko lake lipoje?
Jibu: Soko lake ni zuri sana unajua rupia ni miaka mingi ni kuanzia 1890 to 1913 ni miaka 100 na zaidi, kwahiyo soko lake ni zuri.
Nawezaje kupata soko bila matapeli?
Hapa katika page yangu nitafundisha kila kitu kuanzia kujua:
I) Kuijua collectors kiundani
II) kujua jinsi ya kuuza na masoko
III)Nitafundisha platform Bora za kuuza coins na banknotes
Cha msingi ni follow uendelee kupata elimu hii nayotoa kila siku Kuna mazuri yenye fursa mbele kaeni tayari usikimbilie biashara kwanza pata elimu kwanza ndio uingie kwa biashara utapata mafanikio katika lengo Asante ❤️🙏
Karibuni sana !!!



゚viralシ ゚

Swali kutoka kwa inbox ;;;:JE ni noti za zamani ndizo zenye soko?JIBU; Hapana si TU noti za zamani Zina soko, hata zisiz...
13/04/2026

Swali kutoka kwa inbox ;;;:
JE ni noti za zamani ndizo zenye soko?
JIBU; Hapana si TU noti za zamani Zina soko, hata zisizo za zamani nazo zinasoko pia, hii inaendana na vile vigezo ambavyo vinatakiwa na collectors ,, k**a ;
✓Prefix Serial number
✓Miss printing
✓Water Mark
✓Security thread
Hivi vigezo vinaweza kufanya hata k**a pesa sio ya zamani ikawa Ina gharama kuliko hata Ile ya zamani na sio kila pesa ya zamani nayo Ina soko nayo Kuna vigezo vya collectors.
Nitaelezea kifupi kwenye PREFIX SERIAL NUMBER ::;
Prefix ni zile herufi za mwanzo kwenye namba za noti
Serial number ndio zile number
Collectors anaangalia nini ?
1)Replacement serial number
2)Radar Serial Number
3)Solid Serial Number
Kwa Leo naishia hapo next time nitaelezea maana ya vitu vyote hapo hatua kwa hatua cha msingi;;; follow me ❤️🙏

゚viralシ ゚

Nini maana ya COLLECTOR?Collector ni mtu mwenye kupenda kitu fulani na kuvikusanya na kuhifadhi. Kuna aina nyingi sana y...
11/04/2026

Nini maana ya COLLECTOR?
Collector ni mtu mwenye kupenda kitu fulani na kuvikusanya na kuhifadhi. Kuna aina nyingi sana ya collectors duniani.
Hapa naelezea collectors wa coin na banknotes.
Collectors pesa ilianzishwa na mtawala na mwanzilishi wa Roma empire anaitwa Agustus Caesar alizaliwa mwaka 23 mwezi 9 mwaka 63 B.C na kufa mwaka 14 A.D. Alitawala Roma kuanzia 27 BC mpaka 14 AD. Huyu ndio muanzilishi wa collector ya Numismatic. Kwahiyo ili swala lilianza KARNE na KARNE ,,,, nakufunilia mambo machache uyaelewe, na si magumu ila fursa nzuri sana futana na Mimi kwa kunifollow upate kuelewa zaidi.

🤙 Tanzania 5 shillingi. Mwaka 1966. Mwanzo kabisa tunaanza kutumia sarafu zetu, Je wahenga mnaikumbuka? Hapa wamejaa watoto wa juzi TU hata hawajui Tanzania tulikuwa na noti ya shilling 5 😂😂😂 Wangapi mnajua comment chini nitakupa elimu zaidi ya hii noti na bei yake kwenye soko la Dunia ,,, karibuni ...

10/04/2026

HII NDIO RUPIA 15 YA JERUMANI AFRIKA MASHARIKI (GERMAN - OSTAFRIKA)

✓Safaru hii ujerumani wakati wa utawala ukoloni hapa Africa mashariki.
✓Ilitengenezwa mwaka 1916T (T) kitaalamu Tunaita mint mark ila hiyo T inasimama k**a Tabora na enzi hizo ilipewa jina maarufu ya Tabora gold Elephant.
✓Material ya hii sarafu ni DHAHABU na zilitengenezwa (mintage) 9350 pieces na Ina uzito wa gram 7.168g mpaka 7.21g.
✓Dhumuni na lengo kutengeneza sarafu hii koloni la kijerumani ilikuwa ni emergency kwa ajili vita ya kwanza vya Dunia kwa ajili ya malipo ya askari wake.
✓Kingine Ina picha ya Tembo kanyanyua shingo na mkonge juu na upande mwingine Kuna Ile alama ya kofia ya mtawala wa kijerumani

✓Catalog Numbe KM # 16 (schon #19, J # 728) kwenye soko Dunia bei yake inaanzia $3000 mpaka $1500 kutokana na hali ya sarafu yenyewe.

Kwa elimu bora kujifunza biashara hii na elimu yake pia follow page hii hapa chini UPATE KUJIFUNZA ELIMU YA FURSA YA BIASHARA YA VITU VYA KALE ,, ILI USIWEZE KUTAPELIWA NA MATEPELI WENGI WANAODAGANYA FOLLOW ME

Nchi: ZimbabweKiasi: 100 Trillions.Currency type: notiMwaka: 2008.Sio kila noti ya zamani ni Ina gharama hapana , katika...
10/04/2026

Nchi: Zimbabwe
Kiasi: 100 Trillions.
Currency type: noti
Mwaka: 2008.
Sio kila noti ya zamani ni Ina gharama hapana , katika elimu ya collection ya noti inaweza kuwa hata noti ya sio ya zamani sana ikawa Ina thamani katika soko.
Hii inatokana na vitu vingi vitakavyohusika katika muonekano wa noti k**a ;;;
1) Serial number
2)Printing error
3)Rare
4)Mint mark
5)Replacement na mengine mengi yanaweza kufanya noti hiyo ikawa na soko kubwa kwa collectors
Mfano mdogo picha hapo chini, hiyo ni noti ya Zimbabwe yani noti Moja 100 trillions ukiwa Zimbabwe hii thamani yake ilikuwa uwezi nunua kipande hata cha mkate, Yani ilikuwa Zim $100 trillion kipindi icho ilikuwa sawa na 50 Senti ya Tanzania mwaka 2008. Sasa kwa sasa hii pesa imepanda sana thamani kwenye soko la collectors ,, imekuwa kivutio hata wasio collectors, sahz bei yake kwenye soko la Dunia imefika $180 kwenda juu ,, issue kubwa ni ziro nyingi na haijawai tokea Dunia ndio ya kwanza noti Moja kuwa $100 trillion ...

Kwa elimu nzuri ya collectors na biashara collectors ,,, follow page hii uendelee kupata elimu Bora !!!!

Karibu sana



Michael Materu

Lest grow together Follow me
10/04/2026

Lest grow together

Follow me

Address

2433
Iringa
54000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Collectors Academic Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category