Code za Maisha

Code za Maisha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Code za Maisha, Educational Research Center, P. O. Box 194, Hombolo.

IJUE
πŸ“ŒElimu ya Ndoa & Mahusiano
πŸ“ŒElimu ya Viumbe & Historia za kale
πŸ“ŒElimu ya Namba & matumizi yake
πŸ“ŒElimu ya afya kimwili & kiroho
mawasiliano: +255617487689
:[email protected]

β€Ž  DALILI ZA WANANDOA KUTOTOSHEKA NA MWENZA [MCHEPUKO]β€Žβ€ŽUkiona dalili hizi ujue zinaweza kukupa mwangaza kuwa mmoja kati...
25/07/2026

β€Ž DALILI ZA WANANDOA KUTOTOSHEKA NA MWENZA [MCHEPUKO]
β€Ž
β€ŽUkiona dalili hizi ujue zinaweza kukupa mwangaza kuwa mmoja kati ya wanandoa hao hakuridhika. na mwenzie sasa anatafuta mwengine ambaye anahisi kuwa ndio atakayemtimizia haja zake.
β€Ž
β€ŽDalili hizi ni miongoni mwa ishara zinazoonyesha kuwa tayari kuna mabadiliko yametokea, yupo mgombea mwenza katika kiti hicho cha mahaba, mke au mume ana mahusiano na mtu mwingine mighairi ya mwanandoa mwenzake.
β€Ž
β€Ž βœ“ Matumizi ya Simu
β€Ž >> anashindwa kupokea simu mbele yako.
β€Ž
β€Ž >> Kujitenga anapopokea simu au huongea na simu kwa sauti ya chini.
β€Ž
β€Ž >> Mnapokuwa pamoja simu yake anaiweka silence au anaizima kabisa.
β€Ž
β€Ž >> Anakata simu ghafla anapohisi upo karibu na anafuta rekodi zote za simu yake.
β€Ž
β€Ž >> Hapendi ushike simu yake na anaibeba simu yake kila mahali.
β€Ž
β€Ž >> Majina feki katika rekodi ya majina.
β€Ž
β€Ž >> Kukudanganya mahali alipo.
β€Ž
β€Ž >> Wrong namba za mara kwa mara.
β€Ž
β€Ž >> Mazungumzo kubadilika na anakuwa hapendi kuongea na wewe huku akiambatanisha Dharau na nyodo nyingi na kebehi pamoja na kukukosoa mara kwa mara.
β€Ž
β€Ž >> Ukali Usio wa kawaida wala bila sababu na kupendelea kujihami na kutojali hisia zako na kupunguza wivu ghafla n.k

β€Ž *NAMNA MITINDO YA KULALA NI KIPIMO CHA MAPENZI KWA WANANDOA*β€Žβ€ŽWakati wa kulala si lazima wanandoa wafuate utaratibu ul...
25/07/2026

β€Ž *NAMNA MITINDO YA KULALA NI KIPIMO CHA MAPENZI KWA WANANDOA*
β€Ž
β€ŽWakati wa kulala si lazima wanandoa wafuate utaratibu uleule kila mara. Hii inawezekana msimamo wa akili ulivyo kwa wakati huo.
β€ŽMaisha ya ndoa yanapozidi kuwa matamu, namna ya kulala itakuwa ni ileile ya siku ya kwanza ya harusi au bora zaidi. Lakini yanapoanza kuharibika hata namna ya kulala itakuwa ni mbaya kwa kila mmoja kila siku zinavyoendelea.
β€Ž
β€Ž *Hebu sasa tuangalie pale mambo ya ndoa yanapokuwa mazuri*
β€Ž
β€Ž >> Kukumbatiana
β€Ž Mtindo huu hutumika sana kwa miaka mitano ya mwanzo wa ndoa ambapo mume huweka miguu juu ya mkewe na mikono kumkumbatia maeneo ya kifuani.
β€ŽAina hii hupendwa sana na wanawake kwani hujiona yuko salama na ni alama ya mahusiano bora ya kimapenzi.
β€Ž
β€Ž >> Kutazamana
β€Ž Wawili hukumbatiana kwa kutazamana lakini baada ya masaa 2 hadi 3 hivi hujibagua na kila mmoja kulala upande wake maana ni alama ya kusaidia kuondoa matatizo yanayoweza kujitokeza.
β€Ž
β€Ž >> Maliwazo wa Mume
β€Ž Mtindo huu ni ule wa kushikana mikono na mkewe kuweka kichwa chake kwenye mabega au juu ya kifua cha mumewe na pia ni alama ya tafsiri ya mapenzi ya dhati ya mume kwa mke.
β€Ž
β€Ž >> Barafu wa moyo
β€Ž Hapa mke hupanda juu ya mume na wanaweza kujadiliana mambo mbalimbali na pia ni alama nzuri nyakati za maelewano.
β€Ž
β€Ž
β€Ž *LAKINI SASA HEBU NA TUANGALIE PALE MAMBO YANAPOKUWA YANAHARIBIKA*
β€Ž
β€Ž >> Kila mmoja upande wake
β€Ž Ikiwa mmoja kaweka mguu mmoja au mkono kwa mwenzake, mtindo huu hujulikana k**a daraja la mahusiano na si alama ya kutiliwa mashaka lakini ni mwanzo wa matatizo.
β€Ž
β€Ž >> Usingizi baridi
β€Ž Ni pale wanandoa wanapolala k**a wasiotambuana bila kugusana pasipo kujielewa, na ni alama kuwa wako mbali kifikra na hutokea pale mvuto usipokuwepo, na hali hii isiruhusiwe ikakua wallahi.
β€Ž
β€Ž >> Visiwa tofauti
β€Ž Hii ni hali ya wanandoa kulala bila ushirikiano kwa visingizio vya kuchoka, ni k**a visiwa viwili tofauti na chanzo chake kinaweza kuwa matatizo ya kimwili, kiakili au kiuchumi hali ambayo ikitokea mara kwa mara huweza hata kuvunjika ndoa.
β€Ž
β€Ž >> Mgongo kwa mgongo
β€Ž Mtindo huu hujitokeza sana kwa wanandoa, ingawa wanaweza kupeana migongo lakini wanaweza kuwasiliana. Ni alama ya kawaida na wanasaikolojia wanauita mtindo huu *"Muda wa kupumzika"* ukiendelea mtindo huu, moja kwa moja mambo yanaharibika chap..
β€Ž
β€Ž >> Mzungu wa nnne au mzigo usio hitajika.
β€Ž Kila mmoja hulala kivyake na mara nyingi ni k**a vile wanandoa wanataka kuonyeshana umwamba. Kila mmoja hamjali mwenzake na hali hii si ya kwaida ni mbaya sana kwani hutengana kuanzia wanapopanda kitandani hadi kunapokucha. Si ajabu hata kununua vitanda viwili au kulala vyumba tofauti, wanasaikolojia wanaiita hali hii kiburi au jeuri.

30/05/2026

β€Ž*LEO TUANGALIE JINSI YA KUTENGENEZA LOTION*
β€Ž Lotion ni aina ya mafuta ambayo yanatumika kulainisha ngozi hasa kwa wale wenye ngozi kavu.
β€Ž Lotion inatengenezwa kwa formula mbalimbali ambazo unaweza kutengenezea nyumbani kwako.
β€Ž Kwanza kabisa tutaanza kwa kutaja vifaa / materials yatakayotumika;
β€Ž Β° POLARWAX
β€Ž Β° CETYL ALCOHOL
β€Ž Β° PROPYLPARABEN
β€Ž Β° WHITE OIL
β€Ž Β° GLYCERINE
β€Ž Β° FRAGRANCE
β€Ž Β° MAJI
β€Ž
β€Ž*NI NINI KAZI ZA MALIGHAFI KWANZA*
β€Ž
β€Ž1. POLARWAX
β€Ž Hii ni aina ya kemikali ambayo inasaidia kuweka uzito/thickness katika lotion. Hii pia husaidia kuepuka kutumia malighafi nyingine nyingi ili kuleta uzito kwenye Lotion.
β€Ž
β€Ž2. CETYL ALCOHOL
β€Ž Hii ni kemikali ambayo ni lazima kuitumia katika utengenezaji wa Lotion, kwa Lugha nyingine inaitwa *BINDING AGENT*
β€Ž Inasaidia kuunganisha malighafi zilizoko ndani Mfano, kuunganisha maji na mafuta yanapo changanywa pamoja.
β€Ž
β€Ž3. PROPYLPARABEN
β€Ž Kemikali hii hutumika k**a *Preservertive* inayotumika katika vipodozi vyote ili kuvitunza kwa muda mrefu bila kuharibika.
β€Ž
β€Ž4. WHITE OIL
β€Ž Haya ni mafuta maalumu yanayotumika kutengenezea mafuta.
β€Ž
β€Ž5. GLYCERINE
β€Ž Hutumika kuleta unyevunyevu katika ngozi [moisturizing agent]
β€Ž
β€Ž6. FRAGRANCE
β€Ž Haya ni manukato ambayo yanakuwa na harufu mbalimbali za kila aina.
β€Ž
β€Ž7. MAJI
β€Ž Hutumika kuchanganya malighafi nyingine katika mafuta. [used as solvent].
β€Ž
β€Ž *JINSI YA KUTENGENEZA LOTION*
β€Ž
β€ŽVipimo vinavyotakkwa;
β€Ž
β€Ž> Maji yaliyochemshwa na kupoa........... 66gm
β€Ž> Glycerine.................................................. 03gm
β€Ž> Mafuta yaliyochemshwa........................ 15gm
β€Ž> Cetyl Alcohol............................................ 03gm
β€Ž> Polarwax................................................... 06gm
β€Ž> Propylparaben......................................... 03gm
β€Ž
β€Ž1. Chukua chombo [sufuria] moja na weka maji [66gm] pamoja na Glycerine [3gm] kisha chemsha pamoja huu mchanganyiko ukikoroga mpaka mchanganyiko upate moto wa kutosha kisha weka pembeni.
β€Ž
β€Ž2. Hatua ya pili chukua sufuria nyingine na uweke White oil 15,gm, Cetyl alcohol 3gm, Polarwax gm6 kisha chemsha pamoja mpaka viyayuke pamoja, kisha weka pembeni.
β€Ž
β€Ž3. Mchanganyiko huo katika vyombo viwili tofauti, vichanganywe pamoja yaani mchanganyiko mmoja weka ndani ya mwingine huku ukikoroga kwa muda wa dakika tano 5 na utaona mchanganyiko wako unabadili rangi na kuwa *CREAM* , kisha weka Propylparaben 3gm koroga tena na wakati huu weka perfume [Fragrance] unayopenda.
β€Ž
β€Ž4. Baada ya hapo acha upoe na kabla ya kuwa mzito sana, uweke ndani ya kifungashio tayari kwa matumizi.
β€Ž
β€ŽKwa vipimo hivyo utapata 70ml au robo[ΒΌ] kikombe. Pia k**a unataka kutengeneza kiwango kikubwa zaidi Zidisha mara kiasi unachokitaka.
β€Ž Mfano; ukihitaji 700mils utazidisha mara 10.
β€ŽTofauti na hapo zidisha kiwango mara X2 au X3 au X4
β€Ž
β€ŽNA HAPO UTAKUWA UMEMALIZA KAZI YAKO YA KUTENZGENEZA LOTION.
β€Ž
β€Ž
β€Ž*AHSANTE KWA KUWA NAMI*
β€Ž
β€ŽNi mimi Mwl. wako *OSMAN RICHARD*
β€ŽMpenda Maendeleo yako.
β€Ž0617487689
β€Ž0763389698
β€Ž

Address

P. O. Box 194
Hombolo

Telephone

+255687839596

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Code za Maisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Code za Maisha:

Shortcuts

Share