22/08/2023
Helooo handen fdc ni moja wa zao la hapo kwa wanaonikumbuka nilishawahi kusomaga hapo miaka ya 2012 had 2013 nikichukua mafunzo ya animal helth ilaa kwa sasa natamani kurudi hapo kuchukua electrical estalation vp mpango wa kujiunga hapo unakuaje