14/03/2026
Ni chuo Cha ususi na urembo kinatoa kozi ZIFUATAZO
Ususi kwa miezi 3
Uokaji keki kwa mwezi 1
Upambaji wa kumbi kwa mwezi 1
Master kucha kwa mwezi 1
Chuo ni Cha kutwa na bweni tunapatikana mkoa wa geita katoro kilimahewa jengo la sukari complex
Wasiliana nasi kwa namba 0623893208