Shule ya sekondari Aloysius Geita

Shule ya sekondari Aloysius Geita Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shule ya sekondari Aloysius Geita, School, Tambukareli, Geita.

Permanently closed.

Aloysius ni taasisi ya kidini ya Roman Catholic inayopatikana ndani mji wa Geita maeneo ya shilabela mita 350 kutoka sendi ya mabasi Geita.Kwa elimu bora,malezi ya kiroho,uwajibikaji na uadilifu wa mwanao karibu shule ya sekondari Aloysius

26/09/2022
Maabara za kisasa zinafanya mtoto ajifunze kwa vitendo.....sayansi bila vitendo ni bure
28/05/2022

Maabara za kisasa zinafanya mtoto ajifunze kwa vitendo.....sayansi bila vitendo ni bure

Aloysius ni taasisi ya kidini ya Roman Catholic inayopatikana ndani mji wa Geita maeneo ya shilabela mita 350 kutoka sen...
17/05/2022

Aloysius ni taasisi ya kidini ya Roman Catholic inayopatikana ndani mji wa Geita maeneo ya shilabela mita 350 kutoka sendi ya mabasi Geita.Kwa elimu bora,malezi ya kiroho,uwajibikaji na uadilifu wa mwanao karibu shule ya sekondari Aloysius.Karibuni sana

Aloysius ni taasisi ya kidini ya Roman Catholic inayopatikana ndani mji wa Geita maeneo ya shilabela mita 350 kutoka sendi ya mabasi Geita.Kwa elimu bora,malezi ya kiroho,uwajibikaji na uadilifu wa mwanao karibu shule ya sekondari Aloysius

Aloysius Sekondari wanawasalimu wotee......karibuni Aloysius, karibuni Geita
19/03/2022

Aloysius Sekondari wanawasalimu wotee......karibuni Aloysius, karibuni Geita

19/03/2022

"Education is not the way to life but is life itself" (John Dewey)

Michozo pia ina nafasi katika kujifunza mtoto
18/03/2022

Michozo pia ina nafasi katika kujifunza mtoto

Mkuu we shule sister Ignatius Masawe akiwa na wanafunzi baada ya hafla ya kuwatunuku zawadi wanafunzi wa kidato cha pili...
18/03/2022

Mkuu we shule sister Ignatius Masawe akiwa na wanafunzi baada ya hafla ya kuwatunuku zawadi wanafunzi wa kidato cha pili walio fanya vizuri zaidi kwenye mtihani wa taifa kwenda kidato ya tatu.Zawadi ni muhimu ili ufaulu uzidi kupanda

Baada ya masomo vijana wanaamua kuchukua ukumbusho
18/03/2022

Baada ya masomo vijana wanaamua kuchukua ukumbusho

Vijana leo walikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Bomba mbili secondari.....ulikuwa mchezo mzuri sana
18/03/2022

Vijana leo walikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Bomba mbili secondari.....ulikuwa mchezo mzuri sana

Address

Tambukareli
Geita
31

Telephone

+255767200213

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shule ya sekondari Aloysius Geita posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category