UDOM ndio Home

UDOM ndio Home Official page for Students & X-Students of The University of Dodoma. Many stuffs are right here for you...
UDOM always!!

Like the page and get to join your fellows at the University of Dodoma and the external..

10/11/2021

Sio kila kinachotokea na kuendelea kwenye mahusiano yenu lazima watu wengine wa nje wayajue hasa yale mambo ya siri baina yako na mpenzi wako ukaenda kutoa nje na kumwambia rafiki yako au mtu mwingine yoyote. K**a unahisi kuna kitu hakipo sawa ni vyema ukazungumza na mwenza wako. Yafuatayo ni mambo....

09/11/2021

Lina Medina kutoka nchi ya Amerika Kusini ya Peru alivunja rekodi ya kuwa mama mchanga zaidi duniani kujifungua mtoto akiwa na umri wa miaka 5, miezi 7 na siku 21. Kulingana na rekodi za hospitali, Lina alipata ujauzito akiwa chini ya umri wa miaka mitano. Balehe uanza kwa wasichana wafikapo miaka 1...

26/10/2021
22/10/2021

Mpigania Uhuru

Mwasisi na Mwenyekiti wa Kwanza wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

Mbunge wa Kwanza wa Jimbo la Rufiji

Naibu Waziri wa Afya wa kwanza Mwanamke

Jina lake ni Bibi T**i Mohammed

Rais Samia atazindua mnara maalum kutambua na kuenzi mchango wake kwa maendeleo ya Wanawake na taifa letu.

What do you think? What makes you think you will have the second life, is it fear?  Please read!
16/09/2021

What do you think?

What makes you think you will have the second life, is it fear? Please read!

ย  Eistern anaamini kwamba, hapo ulipo sasa hivi, ulishawahi kufa miaka zaidi ya trilioni nyuma, ni sawa na bado haujazaliwa. Kifo ni kitu ambacho wengi hatukipendi, na k**a tutaishi milele basi dunia itakuwa na shida sana. Tatizo la kufa ni kwamba hakuna ajuaye baada ya kufa ni kitu gani kinatokea ...

https://clickhabari.com/vyakula-6-vinavyoongeza-nguvu-za.../
15/09/2021

https://clickhabari.com/vyakula-6-vinavyoongeza-nguvu-za.../

ย  Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume โ€“ hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi k**a utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi....

14/06/2021

Hello Comrades..!!

Naomba k**a kuna wahitimu wa UDOM ambao aidha kwao ni Shinyanga au wapo Shinyanga kikazi, tuwasiliane whatsapp tafadhari kwa namba 0762194082.



Nawasilisha, Karibuni.

"We'll mourn you forever Mr. President" | Gone but the legacy lives on...๐Ÿ™๐Ÿพ        .I.P JPM
23/03/2021

"We'll mourn you forever Mr. President" | Gone but the legacy lives on...๐Ÿ™๐Ÿพ .I.P JPM

Rest Well Mr. President, gone but the legacy lives on...๐Ÿ™๐Ÿพ
19/03/2021

Rest Well Mr. President, gone but the legacy lives on...๐Ÿ™๐Ÿพ

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 13:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255759950757

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UDOM ndio Home posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to UDOM ndio Home:

Shortcuts

Share