24/03/2026
Hapa sisi tunaamini Kila kijana anayo fursa ya kufikia malengo yake.
Kaa tayari, mwezi wa saba tutaanza mafunzo katika maeneo yafuatayo
Elimu ya Secondary kwa miaka 2
Mitihani ya FTNA (QT)
Kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha nne na cha sita
Pia tutakuwa na mafunzo ya
1. Ushonaji
2. Useremala
3. Umeme
4. Aluminum
Sambamba na hilo tutakuwa na mafunzo ya
1. Lugha ya Kichina
2. Lugha ya kiingereza
3. Mafunzo ya Ujasiriamali
4. Matumizi ya mifumo ya TRA, Nest, Brela
5. Scholarships na Fursa mbalimbali za kimataifa