10/01/2026
Mwezeshaji Amos Mwijonge alipata nafasi ya kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Morning Star School – Dodoma, yakilenga kuwajengea uelewa wa namna bora ya kuwahudumia wanafunzi na wazazi na kuwafanya kuwa mabalozi wa taasisi yao.
Aidha, kila mtumishi katika kitengo chake amepata maarifa, yatakayomwezesha kufanya vizuri zaidi ndani ya mwaka 2026.
Asante sana Amos
Karibu tena Morning Star School