Ant corruption Club Tabora boys-PCCB

Ant corruption Club Tabora boys-PCCB pccb-club

 ✊
08/12/2024

✊

Grand finaleπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
09/05/2024

Grand finaleπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

Pakua App ya SMARBO APP kunipigia kuraπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
04/05/2024

Pakua App ya SMARBO APP kunipigia kuraπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ


15/04/2024
DEAL DONE...πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
14/04/2024

DEAL DONE...πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

Coming soon...
25/11/2021

Coming soon...

K**a kawaida yetu wanachama wa klabu ya eapinga rushwa Tabora boyz....tuko kazini muda huu tukiandaa bustani ya mboga k*...
15/08/2020

K**a kawaida yetu wanachama wa klabu ya eapinga rushwa Tabora boyz....tuko kazini muda huu tukiandaa bustani ya mboga k**a moja ya project zetu.... adui wa haki

Mbele ya ofisi yetu ya klabu ya PCCB hapa shuleni tumetengeneza kiunga kizuri kabisa cha maua. Hii ni moja kati ya juhud...
02/08/2020

Mbele ya ofisi yetu ya klabu ya PCCB hapa shuleni tumetengeneza kiunga kizuri kabisa cha maua. Hii ni moja kati ya juhudi za wapinga rushwa yaani wanaPCCB hapa Tabora boys. Lengo letu ni kuhakikisha mazingira yetu yanakua katika hali ya kuvutia. Pichani ni baadhi ya wanaklabu waliopata nafasi ya kushiriki katika mchakato huo wakiongozwa na mwenyekiti wa Klabu Mr Enock Mwesiga.

Uboreshaji wa mazingira ya shule yetu ni moja kati ya vipaumbele vyetu. Klabu ya PCCB imeweza kupaka rangi kwenye tofali...
02/08/2020

Uboreshaji wa mazingira ya shule yetu ni moja kati ya vipaumbele vyetu. Klabu ya PCCB imeweza kupaka rangi kwenye tofali zilizowekwa kwenye viunga mbalimbali vya maua hapa shuleni. Pichani ni wanaklabu wa PCCB wakiongozwa na Mwenyekiti wa Klabu Enock Mwesiga. Picha zilipigwa siku ya shughuli ya upakaji rangi.

.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ant corruption Club Tabora boys-PCCB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share