Aluta Polytechnical College

Aluta Polytechnical College Chuo cha Aluta Polytechnical College kilichopo chini ya Aluta Polyclinic na Radio Maisha FM.

23/08/2022
Mapangilio wa Ada zetu kwa kozi zote
23/08/2022

Mapangilio wa Ada zetu kwa kozi zote

23/08/2022

Chuo cha Sayansi ya Afya na Mawasiliano Aluta Polytechnical College kinakutangazia muhula Mpya wa masomo utakao anza 3 oktoba 2022 Katika fani za Usaidizi wa maabara (Laboratory Assistant), Wahudumu wa Afya (Medical and Laboratory Attendants) na pia Fani ya Uandishi wa Habari na Utangazaji (Journalism and Media Communication). Usikubali kukaa nyumbani wakati fursa ipo ya kufikia ndoto yako kupitia Chuo cha Sayansi ya Afya na Mawasiliano Dodoma chenye garama nafuu ili kukufanya ufikie ndoto yako.

Address

Mlimwa West Area C Airport Dodoma
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aluta Polytechnical College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Aluta Polytechnical College:

Shortcuts

Share