10/11/2022
Shule ya King's hedges iliyopo wilayani Mpwapwa tunanafasi za masomo kwa kindergarten, nursery na msingi kuanzia darasa la kwanza na kuendelea..
Shule yetu imesajiriwa.
Tunakukaribisha ufike shuleni ili ujionee mazigira na utaratibu wetu mzuri wa kutoa elimu bora kwa watoto.
Wasiliana nasi kwa namba: 0745335560 na 0767258545
Wote mnakaribishwa π