19/01/2019
Good morning! In www.vitabushelf.com there is online community special for discussing, bringing out comments on reading and writing life. Please I am warmly welcome you to share anything you have come across with daily as you read different books and articles. All you have to do is jump in our website (link provided above), go to online community page, register then talk with us about your readings. Welcome to Vitabushelf world. Have a nice Saturday!
Habari za asubuhi! Kwenye tovuti yetu www.vitabushelf.com kuna jukwaa maalumu kwa ajili ya mazungumzo kuhusu kuandika na kusoma. Napenda kuwakaribisha wote katika jukwaa hili na kuweza kushirikishana mambo mbalimbali yanayotokea katika ulimwengu wa vitabu! Unachotakiwa kufanya ni kuingia katika tovuti yetu tajwa hapo juu, bonyeza ukurasa wa online community, jisajili alafu zungumza kwa njia ya maandishi. Karibuni Vitabushelf! Tunawatakia Jumamosi Njema!