The Institute of Finance Management

The Institute of Finance Management

Comments

HP NOTEBOOK 630 LAPTOP HDD : 250GB , RAM 2GB , WIRELESS, BLUETOOTH, HDMI, DVD ROM, WE**AM PRICE : 395,000
CONTACT : 0717-447944
LOCATION: MAKUMBUSHO BUS STAND.
joining instruction ifm Mwanza 2020/2021
Mwanza teaching centre(ifm)
Chuo cha Usimamizi wa Fedha mahafali ya mwaka huu 2019 ni tar 29 k**a sikosei! Kuna orodha ya wahitimu wa Vitivo 2 tu! Vingine je?
Form four waliopangiwa certificate taxation wanaanza kusomao lini?
uko vizuri
Hello

We are looking for young qualified and dynamic accountant for a petrol station business in the southern region of Tanzania .
Should be well versed in excel and word, internet .
To be responsible for generating timely reports
Day to day records .
Should be honest, hard-working, intelligent and creative
Computer proficiency
Able to work with limited or no supervision.
Please inbox your interest via Facebook messenger .
Hello!.....Nimeipenda masters yenu ya Masters of Science (MSc) in Finance and Investment ambayo ni part time ningependa nijiunge mwaka kesho,je hiyo part time ikoje? i mean huwa mnafundisha siku zipi katika juma na saa ngapi?.......k**a inawezekana naomba mnitumie sample ya lesson timetable ya mwaka huu au ya mwaka jana ya ratiba ya wiki nzima ya masomo ili niweze kupata picha halisi!

Asante.

The Institute of Finance Management (IFM) Government Institution of Higher Learning

IFM is a government higher learning Institution that provides equal learning opportunity for all.

It was established to serve Tanzania’s general public. It enjoys sound and excellent rapport and stable relations with the government. It is determined and dedicated to promote customer satisfaction, integrity, fairness, accountability, teamwork, competence, transparency, excellence and social responsibility in all its dealings with the public. Strategic Location

IFM is located at the intersectio

Photos from The Institute of Finance Management's post 27/07/2021

Karibu viwanja vya Mnazi mmoja kwenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu
IFM tunashiriki Maonyesho hayo.

21/07/2021
20/07/2021

Mfahamu Rais mpya wa Serikali ys wanafunzi IFMSO Bw. Al-haidali Ngomero. Pamoja Na Philemoni Mwakanyamale Makamu Wa Rais

Mfahamu Rais mpya wa Serikali ys wanafunzi IFMSO Bw. Al-haidali Ngomero. Pamoja Na Philemoni Mwakanyamale Makamu Wa Rais

Photos from The Institute of Finance Management's post 08/07/2021

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba alipotembelea banda la IFM katika viwanja vya Maonyesho ya 45 ya Sabasaba.

08/07/2021

Mwenyekiti wa Bunge Mhe. David Kihenzule (MB) alipotembelea banda la IFM katika Viwanja vya Maonyesho ya 45 ya Sabasaba.

Mwenyekiti wa Bunge Mhe. David Kihenzule (MB) alipotembelea banda la IFM katika Viwanja vya Maonyesho ya 45 ya Sabasaba.

Photos from The Institute of Finance Management's post 07/07/2021

Ziara ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Eng.Hamad Masauni (MB) alipotembelea Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) tarehe 6/7/2021.

Photos from The Institute of Finance Management's post 03/07/2021

IFM tupo kwenye Maonyesho ya Sabasaba ndani ya banda la Wizara ya Fedha na Mipango karibu tukuhudumie.

Photos from The Institute of Finance Management's post 30/05/2021

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Antony Mtaka katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), alipotembelea banda la Chuo katika maonesho ya NACTE Dodoma.

28/05/2021

IFM yashiriki Maonesho ya pili ya NACTE, Pichani Mkuu wa Chuo Prof.Tadeo Satta akiwa na baadhi ya Wafanyakazi katika Banda la Chuo.

IFM yashiriki Maonesho ya pili ya NACTE, Pichani Mkuu wa Chuo Prof.Tadeo Satta akiwa na baadhi ya Wafanyakazi katika Banda la Chuo.

13/05/2021
08/05/2021

Karimu Mahmoud Khatwabi ni mwanafunzi wetu wa BSC. Yeye ni finalist (top 10) wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi Teknolojia na Ubunifu., MAKISATU 2021. Akiwa na ubinifu wake ambao umemuwezesha kuvuka hatua zote za awali tangu mwaka jana hadi sasa kwenye finali zinazofanyika Dodoma. Hii ni leo 08/05/2021

Karimu Mahmoud Khatwabi ni mwanafunzi wetu wa BSC. Yeye ni finalist (top 10) wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi Teknolojia na Ubunifu., MAKISATU 2021. Akiwa na ubinifu wake ambao umemuwezesha kuvuka hatua zote za awali tangu mwaka jana hadi sasa kwenye finali zinazofanyika Dodoma. Hii ni leo 08/05/2021

01/05/2021
27/04/2021
04/02/2021

Fake News

Fake News

18/09/2020

Overall best student for the year 2019 Ms Rhoda Maholi receiving Tsh. 1,000,000/= as overall best student prize From IFM Deputy Rector ARC

04/09/2020

Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kinashiriki maonesho ya Vyuo VIkuu Mnazi mmoja karibu tuku hudumie

03/08/2020

IFM yashiriki Maonesho ya Nanenane Simiyu katika viwanja vya Nyakabindi.

10/07/2020

IFM participating at 44th Sabasaba Exhibitions

17/04/2020
11/04/2020
07/04/2020
who.int 17/03/2020

Advice for public

Corona Virus advice from WHO
Dear staff
Take all necessary precautions and advice as provided by Government and international bodies to avoid coronavirus
For more information read
https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019/advice-for-public

who.int Stay aware of the latest information on the COVID-19 outbreak, available on the WHO website and through your national and local public health authority. COVID-19 is still affecting mostly people in China with some outbreaks in other countries. Most people who become infected experience mild illness....

09/03/2020

Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la kampasi ya kanda ya ziwa ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) mnamo tarehe 6 Machi 2020.

15/02/2020

MSC. IT AND MANAGEMENT 12TH GRADUATION CEREMONY

The Institute of Finance Management on 12th February 2020 conducted the 12th Graduation Ceremony of the Msc. Information Technology and Management, the course is offered in collaboration between Institute of Finance Management and Avinashillingam University of India. The Guest of honour was Prof. Emmanuel Mjema IFM’s Governing Council Vice Chairman and Rector of CBE.

16/01/2020

IIFT in collaboration with the Institute of Finance Management IFM announces launching of MBA

IIFT in collaboration with the Institute of Finance Management IFM announces launching of MBA

18/10/2019

PROMOTIONAL ACTIVITY
The Institute of Finance Management managed to participate and display its pavilion at Shaaban Robert Secondary School on 12th october 2019 during parents and techers meeting at the school.
IFM was able to diplay its promotional items as well as exhibiting various activities of the Institute. The exhibition was useful for the Istitute, many prospective students were interested to jioin IFM.
Below are photos of iIFM staff assistingand reveal useful information concerning the Institute to pavilion visitors during the exhibition.

18/10/2019
26/08/2019
19/08/2019
ifm.ac.tz 12/06/2019

Home

APPLICATION FOR 2019/2020 ACADEMIC YEAR
Application for various programme is Open for different study levels. Visit our website www.ifm.ac.tz and apply using our online application platform accessible through http://www.ifmsis.ac.tz/oas/ . Deadline for application is 2nd September 2019.

ifm.ac.tz

ifm.ac.tz 20/07/2018

Home

CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA KINAKUKARIBISHA KWENYE MAONESHO YA VYUO VIKUU YA TCU KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUANZIA SIKU YA JUMATANO TAREHE 18 - 21/07/2018.
Katika Maonesho hayo Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kitatoa taarifa kwa wananchi juu ya shughuli na huduma mbalimbali zitolewazo chuoni hapo. Pia, tutakusaidia kufanya maombi ya kupitia mtandao ya kujiunga na masomo katika ngazi za Masters Degree, Postgraduate Diploma, Bachelor Degree, Diploma na Certificate.
Unaweza tuma maombi yako ya kimtandao kupitia tovuti yetu ya www.ifm.ac.tz au link http://admission.ifm.ac.tz.
Kwa kulipia. Tshs10,000/= kwa kutumia simu (mpesa/tigo pesa) au kupitia account yetu ya CRDB Bank namba 01J1042984102 k**a gharama ya maombi ya udahili.
Huduma hii na nyingine zitapatikana Kwenye Banda letu la maonesho.

Karibuni Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu tofauti.
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE 0789206282
KARIBUNI SANA
Imetolewa na ofisi ya Uhusiano
IFM

ifm.ac.tz

06/07/2018

The Speaker of National Parliament of Tanzania Hon. Job Ndugai, launch IFM safari to Dodoma by cutting a ribbon on a map that showcasing the IFM's proposed area in Dodoma.

03/07/2018

The Institute of Finance Management in collaboration with Tanzania Insurance Brokers Association (TIBA) organized Insurance awareness walk on 23rd June 2018.
The walk started at IFM ended at Karimjee Grounds, students from the FACULTY OF INSURANCE AND SOCIAL PROTECTION were involved.

30/05/2018

The IFM Rector Prof. Tadeo Satta sitting at the centre in a group photo with winners of the 8th career day Bachelor of Science in Taxation, first standing on the left is the Deputy Rector Academics, Research and Consultancy Dr. Imanuel Mnzava, second standing on the right is the Dean Faculty of Economics and Management Sciences Dr. Godwin Kaganda .

30/05/2018

The Guest of Honour the Deputy Minister of the Ministry of Finance and Planning Hon . Dr. Ashatu Kijaji [at the centre] as she launch the Masters of Science in Social Protection Policy and Development (MSPD),Masters of Insurance and Actuarial Science (MIA) and Bachelor of Science in Actuarial Science. On her left is the IFM Governing council Chairperson Prof. Lettice Kinunda Rutashobya and on her right is the IFM Rector Prof. Tadeo Satta. The ceremony was held on 12th May 2018, at the Julius Nyerere International Convention Centre.

Videos (show all)

IIFT in collaboration with the Institute of Finance Management IFM announces launching of MBA
Chuo cha usimamizi wa fedha IFM kuinua sekta ya Bima.

Location

Category

Products

IFM offers a wide range of products and services including training, research and consultancy.

Website

Address

P.O Box 3918
Dar Es Salam
255
Other Education in Dar es Salam (show all)
College of Business Education College of Business Education
Bibi T**i Road
Dar Es Salam, P.O. BOX 1968

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself. It was soon after Independence on 9th December 1961, that the newly independent state found itself in need of trained personnel to Commercial and

Aiesec ifm Bridge 2016 Aiesec ifm Bridge 2016
Dar Es Salam

Gisela Schools Gisela Schools
Dar Es Salam, P.O BOX 3330

Gisela Nursery & Primary English Medium School

Excel Excel
Mbezi Beach
Dar Es Salam, 78938

Excel helps children gain valuable readiness and reinforce what they are learning in school

Peytonetofashion Peytonetofashion
638 Tz Arusha
Dar Es Salam, ARUSHA

Fashion for future

SisiKazi Center SisiKazi Center
20 Sinza Mori Street
Dar Es Salam

SEEC seeks to shift the Tanzania focus from poverty eradication to wealth creation, from depending on international aids to international investments.

Pwani Vision Pwani Vision
MKURANGA, PWANI TANZANIA EASTERN AFRICA
Dar Es Salam

NGO'S WE SHOW THE WAY TO AN AIDS FREE LIFE AND DRUG ABUSE,WE TAKE THE LEAD WE STOP AIDS WE KEEP PROMISE.

Tanzania Metrology Students Association Tanzania Metrology Students Association
Po Box
Dar Es Salam, 255

*Link students with different projects concerning metrology world wide.., *Link students with metrology training, job,interships,tours..

My EDP Project My EDP Project
UDEC
Dar Es Salam, 110099

"My Entrepreneurship Development Programme (EDP) – Startup for a better Business Environment in Tanzania” 2014/2015

Tanzania students magazine - tsm Tanzania students magazine - tsm
Dar Es Salam

NGO which is ready to support students' talents and help students who are in need

Charge Your Brain Charge Your Brain
Dar Es Salam
Dar Es Salam, 255755 751959 / 255713751959

Your mind is like a garden,Whatever you plant will grow.Your thoughts are seeds you're planting, They produce, each after its kind.And, you just like a Gardner, Can choose which seeds you

MAHDI Health Initiative MAHDI Health Initiative
Tanzania
Dar Es Salam

A page dedicated to humanity which aims to teach and serve the world on the basis of health for a safer, healthier and a brighter future.