JMT Global EDU Consultancy

JMT Global EDU Consultancy Education Consultant
Study Abroad agency
Equiries
Contact us
+255745493945/+255682399790
Email: [email protected]

Tunawatakia kidato cha sita wote kila la heri kwenye mitihani yenu ya mwisho.JMT..! Your future, Our mission.Contact us+...
05/05/2026

Tunawatakia kidato cha sita wote kila la heri kwenye mitihani yenu ya mwisho.

JMT..! Your future, Our mission.

Contact us
+255745493945/ +255682599790
[email protected]

Timu yetu pia iliweza kufika hadi mkoani Simiyu katika wilaya ya Maswa kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika...
03/05/2026

Timu yetu pia iliweza kufika hadi mkoani Simiyu katika wilaya ya Maswa kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya wasichana Maswa sekondari.
Tumeweza kujadiliana nao fursa za kusoma nje ya nchi na kuwatakia maandalizi mema ya mitihani yao ya kidato cha sita.

Tunawakaribisha wanafunzi na wazazi kuleta watoto wao tuweze kuwasaidia katika kupata fursa ya kusoma nje ya nchi.

JMT! Your future, Our mission!

Tupigie kupitia:
+255745493945/+255682599790
email: [email protected]

Ni katika muendelezo wa kutembelea wanafunzi wa shule mbalimbali nchini, timu yetu ilipata fursa ya kutembelea na kuzung...
03/05/2026

Ni katika muendelezo wa kutembelea wanafunzi wa shule mbalimbali nchini, timu yetu ilipata fursa ya kutembelea na kuzungumza na wanafunzi wa shule ya secondary aldersgate iliyopo Babati
mkoani Manyara.

JMT global edu consultancy...! Your future, Our Mission!

Wasiliana nasi:
+25545493945
+255682599790
[email protected]

Tulipata fursa ya kuwatembelea na kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari Mwenge iliyopo mk...
02/05/2026

Tulipata fursa ya kuwatembelea na kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari Mwenge iliyopo mkoani Singida

Tumejadili masuala mbali mbali ya kielimu hususani fursa ya kusoma nje ya nchi baada ya kumaliza masomo yao ya Sekondari na faida zake

JMT Global Edu Consultancy inawatakia maandalizi mema ya mitahani ya kidato cha sita inayotarajiwa kuanza mapema wiki ijayo.

Tupigie:
+255745493945
+255682599790
[email protected]

JMT Global Edu Consultancy tunawatakia Heri ya sikukuu ya wafanyakazi DunianiTunaendelea kuhakikisha tunakuwa daraja bor...
01/05/2026

JMT Global Edu Consultancy tunawatakia Heri ya sikukuu ya wafanyakazi Duniani

Tunaendelea kuhakikisha tunakuwa daraja bora katika kutimiza ndoto za mwanao kusoma nje ya nchi..!

Tupigie sasa
+255745493945/+255682599790
[email protected]

Team ya JMT global edu consultancy leo imepata fursa ya kukutana na kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika sh...
26/04/2026

Team ya JMT global edu consultancy leo imepata fursa ya kukutana na kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari MBUGWE iliyopo babati mkoani manyara

Kwenye mazungumzo hayo tumejadili kuhusu fursa mbalimbali za kusoma nje ya nchi(schorlaship) na kutoa mafunzo mbalimbali kuhusu kozi na faida za kusoma nje ya nchi

Pia tumetumia wakati huo kuwatakia maandalizi mema ya mitihani ya kidato cha sita inayotarajia kuanza mapema wiki ijayo.

JMT.!! Your future, Our mission!

Mawasiliano yetu:

+255745493945
+255682599790
[email protected]

Leo tarehe 25/04/2026 JMT GLOBAL EDU CONSULTANCY, tumefanya mazungumzo na wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya sekon...
25/04/2026

Leo tarehe 25/04/2026 JMT GLOBAL EDU CONSULTANCY, tumefanya mazungumzo na wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya sekondari MAMIRE, babati mkoa wa manyara.

Katika mazungumzo hayo tumetoa elimu kuhusu vyuo vikuu vya nje ya nchi na namna mwanafunzi anaweza kuchagua kozi(course) itakayomsaidia kwenye soko la elimu la kimataifa baada ya kuhitimu masomo.

Pia,tumewatakia heri wanafunzi wanapoelekea kwenye mitihani yao ya mwisho inayoanza hivi karibuni.

Happy Easter to All believers around the World        JMT enterprsises company ltd
05/04/2026

Happy Easter to All believers around the World






JMT enterprsises company ltd

🎓Dreaming of studying in India? JMT global edu consultancy we are here for you!💡Apply now at PP Savani University for Ma...
28/02/2026

🎓Dreaming of studying in India? JMT global edu consultancy we are here for you!💡

Apply now at PP Savani University for March intake !

Contact us: +255682399790/+255745493945
email: [email protected]



well come at JMT Global EDU Consultancy
18/02/2026

well come at JMT Global EDU Consultancy

wishing all our christian partners and students a blessed lent
18/02/2026

wishing all our christian partners and students a blessed lent

Address

Mwananyamala, Mwinjuma Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JMT Global EDU Consultancy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share