Mibiwah Directly Media

Mibiwah Directly Media Naitwa Mibiwah, Nimechoka kudanganywa na dunia.

Kwenye page hii naeleza ukweli mtupu kuhusu maisha halisi ya ulimwengu ,elimu ya maisha ya binadamu, na mahusiano nitakuwa Jumanne & jumapili saa mbili usiku nawapenda sana ndugu zangu.

Nguvu ya pesa siku zote humpa mtu kiburimanyanya tz
24/07/2026

Nguvu ya pesa siku zote humpa mtu kiburi


manyanya tz

One of my best 💗  write your comment now
05/07/2026

One of my best 💗 write your comment now

Kumbukumbu ni nzuri kuliko. Je wewe ulisomea shule Gani ya secondary
23/06/2026

Kumbukumbu ni nzuri kuliko. Je wewe ulisomea shule Gani ya secondary


Asiyejua maumivu ya ndoa yako hawezi kuelewa maamuzi yako Watu huona tabasamu la nje lakini hawajui machozi ya ndani. Ka...
21/06/2026

Asiyejua maumivu ya ndoa yako hawezi kuelewa maamuzi yako Watu huona tabasamu la nje lakini hawajui machozi ya ndani. Kabla ya kumhukumu anayepitia changamoto za ndoa yake kumbuka kwamba ni yeye anayebeba mzigo na anajua uzito wake. Maamuzi mengi katika ndoa hutokana na maumivu ambayo si kila mtu anaweza kuyaona au kuyaelewa










*Kuna nguvu katika kupendwa na mtu anayeamini kweli ndani yako. Utiayo wao unaweza kukusukuma mbele hata unapohisi dhaif...
15/06/2026

*Kuna nguvu katika kupendwa na mtu anayeamini kweli ndani yako. Utiayo wao unaweza kukusukuma mbele hata unapohisi dhaifu, na msaada wao unaweza kukusaidia kushinda vikwazo ambavyo mara moja vilionekana haviwezekani. Upendo una njia yake ya kipekee ya kukumbusha watu kuwa wana uwezo, wanathaminiwa, na hawako peke yao kamwe katika safari yao. 💖💗*

> Mibiwah

Watu wengi unaokutana nao kila siku hawabebi mizigo mgongoni… wanaibeba moyoni. 💔*Kuwa mkarimu.* Hujui Watu wanapitia ni...
13/06/2026

Watu wengi unaokutana nao kila siku hawabebi mizigo mgongoni… wanaibeba moyoni. 💔

*Kuwa mkarimu.* Hujui Watu wanapitia nini. ❤️

12/06/2026
12/06/2026

School motivation

Address

Ikungi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mibiwah Directly Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category