26/11/2025
Ikiwa Ushindi wako wew unategemea mwingine kuanguka inamaana kua una pambania uadui❤️ lakini Yesu anatufundisha ya kua if I teach you something it means that najifundisha mwenyewe. Lkn mwenzako/ ndugu yako akiangua unakosa Hamasa lakini kufundisha na kuombeana Hujaza thawabu Mpaka kwa wana wa walio katika viuno vyako. 👊 Remind you Baraka na Laana vyote vinarisishwa so tunapaswa kua na busara nyingi kuokoa Kesho ya wale tunao wapenda .