15/12/2025
USIPUUZE UKIONAPO DALILI ZA KUWA NA GESI TUMBONI
NA CHANGAMOTO ZA ACID REFLUX**
Matatizo ya gesi tumboni na acid reflux ni ya kawaida sana, lakini yakipuuzwa yanaweza kuleta usumbufu mkubwa na kuathiri afya kwa ujumla.
📞 Kwa ushauri na huduma piga:
+255 697 552 309
🔹 DALILI ZA KUWA NA GESI TUMBONI
✔️ Tumbo kujaa hewa / kubana
✔️ Maumivu ya tumbo yanayohama hama
✔️ Kupiga chafya (kupiga gesi) mara kwa mara
✔️ Tumbo kuvimba
✔️ Kusikia tumbo lina kelele
✔️ Kichefuchefu au hamu ndogo ya kula
✔️ Kujisikia mzito baada ya kula
Husababishwa na:
– Kula haraka
– Vyakula vinavyozalisha gesi (maharage, soda, vyakula vya mafuta mengi)
– Kukosa mmeng’enyo mzuri wa chakula
DALILI NA CHANGAMOTO ZA ACID REFLUX
Acid reflux hutokea pale tindikali ya tumbo inapopanda juu kuelekea kooni.
Dalili Kuu
_ Kiungulia / moto kifuani
_Ladha chungu au tindikali mdomoni
_ Kichefuchefu
Tumbo kujaa gesi na kubana
Maumivu ya kifua (wakati mwingine hufanana na ya moyo)
_ Koo kuwasha au kuuma
Kikohozi cha mara kwa mara bila mafua
Changamoto Zake
✅ Kuvimba na kuharibu koo (esophagitis)
✅Vidonda vya tumbo au koo
✅ Kukosa usingizi (dalili huongezeka ukiwa umelala)
Kichefuchefu cha mara kwa mara
✅Kuongezeka kwa gesi tumboni
Wakati wa Kuona Mtaalamu Haraka
⛔ Kiungulia kikali kila siku
⛔ Maumivu makali ya kifua
⛔ Kutapika damu au choo cheusi
⛔ Kushindwa kumeza chaku
✅ Ushauri wa Haraka
✔️ Kula kwa kiasi, usile sana mara moja
✔️ Epuka kulala mara baada ya kula
✔️ Punguza soda, kahawa, pilipili na vyakula vya mafuta
✔️ Tafuna chakula taratibu
✔️ Epuka kutumia dawa kiholela
📞 Kwa ushauri wa kitaalamu na matibabu sahihi piga:
+255 697 552 309