Wanafunzi wa Yesu

Wanafunzi wa Yesu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wanafunzi wa Yesu, School, Dar es Salaam.

Tupo ili kuwafunza watu wote kuwa wafuasi wa Yesu Kristo waliojitolea ambao wanamjua Yesu kwa undani, wanahudumiana, na kuushuhudia ulimwengu Injili - Mt. 28:18-19

02/04/2026

Jinsi ya Kupata Muda wa Kutosha wa Kusoma Maandiko!

Ole wako wewe, ikiwa watu wakiangalia maneno na matendo yako, unawapa sababu ya kumzungumzia vibaya Kristo au Kanisa lak...
10/02/2026

Ole wako wewe, ikiwa watu wakiangalia maneno na matendo yako, unawapa sababu ya kumzungumzia vibaya Kristo au Kanisa lake

Mpendwa, Jitahidi kutunza nguvu na uwepo wa Mungu ndani yako hata muda Bwana atakapotaka uzitumie. Punguza na kwepa mazi...
07/02/2026

Mpendwa,
Jitahidi kutunza nguvu na uwepo wa Mungu ndani yako hata muda Bwana atakapotaka uzitumie.

Punguza na kwepa mazingira ambayo yatanyonya nguvu hizo pasipo faida ya Ufalme wa Mungu.

Mwombe Mungu akupe roho ya kukataa masumbufu ya dunia ili ufalme wake na mapenzi yake yawe kipaumbele kwako Lk. 21:34-35
05/02/2026

Mwombe Mungu akupe roho ya kukataa masumbufu ya dunia ili ufalme wake na mapenzi yake yawe kipaumbele kwako
Lk. 21:34-35

Je, ni jambo gani baya ambalo ulikuja gundua kuwa Mungu alikuepusha nalo haswa pale ambapo mipango iliyokuwa imesukwa ju...
30/01/2026

Je, ni jambo gani baya ambalo ulikuja gundua kuwa Mungu alikuepusha nalo haswa pale ambapo mipango iliyokuwa imesukwa juu yako hapo mwanzo ulikuwa huitambui?

29/01/2026
Ukikosa msaada wa Mungu kukufunulia mbinu za adui yako kukudhuru - ili ujilinde, hakika madhara yatakupata.
06/12/2025

Ukikosa msaada wa Mungu kukufunulia mbinu za adui yako kukudhuru - ili ujilinde, hakika madhara yatakupata.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255714766148

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wanafunzi wa Yesu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Wanafunzi wa Yesu:

Shortcuts

Share

Category