KHIDMA ONLINE TV, TUMEJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KWA KUFATA QUR'AN NA SUNNAH. MAWASILIANO 0752 950 350
11/08/2026
Tangazo la Mungu Kwa Waislamu Wote Duniani.
11/08/2026
Ndoto yoyote ile utakayo iyota ukiwa umelela ipo ndani ya hizi sehemu Tatu za Ndoto.
✍🏽Bushra Mgodoka
11/08/2026
Vyeo ni kwaajili ya kuwatumikia watu sio Kutamba na Kujifaharisha Heshima ya Muislamu ni Uislam kitendo cha wewe kuwa Muislamu tu tayari unaheshima kubwa.
✍🏽 Mgodoka
11/08/2026
Qur'An Tukufu ni Muujiza wa Milele Kwetu Sisi Ummah wa Mtume Muhammad S.A.W Tuisome, Tuielewe, Tuifanyie Kazi.
✍🏽Bushra Mgodoka
11/08/2026
Talaka Maana Yake ni Kitu Kinacho Vunja Mkataba wa Ndoa.
✍🏽
10/08/2026
Watu wanao Tafsili Ndoto hutumia Njia hii Kuitafsili Ndoto yako unayo iyota Usiku.
✍🏽Bushra Mgodoka
10/08/2026
Mashaallah Allah Akbar hapa ndipo utaona utukufu na Heshima ya Qur an Tukufu chukuwa dakika chache kuupa raha Moyo wako kwa kuisikiliza Qur an Tukufu.
✍🏽Bushra Mgodoka
10/08/2026
K**a Sheikh Walid angekuwa Mchezaji Mpira basi huyu angekuwa ni ile nambasita inayotafutwa.
10/08/2026
K**a unataka kutatua kesi za Migogoro ya ndoa fata hatua hizi kwa mujibu wa Qur an.
✍🏽Bushra Mgodoka
09/08/2026
Mhe. Haji Manara Sheikh Walid Unapendwa Sana Tupe Siri ya Kupendwa Kwako.
Be the first to know and let us send you an email when Khidma TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.