Zango College of Health & Allied Sciences

Zango College of Health & Allied Sciences Chuo cha kisasa kinachotoa elimu ya masomo ya afya na mengineyo mengi

26/08/2026

Fursa Mpya kozi ya Social Work zango college 2026
Apply now www.zacohas.ac.tz

26/08/2026

Je, ukisikia kozi ya Social Work huwa unawaza nini? πŸ€”

Huenda unaiona k**a kozi ya kawaida, lakini ukweli ni kwamba Social Work ni taaluma inayobadilisha maisha ya watu na kufungua fursa nyingi za ajira.

πŸŽ™οΈ Kutana na mtaalamu wetu Mr. Goodluck Gervas akituchambulia kwa undani kozi ya Social Work inayotolewa Zango College of Health and Allied Sciences (ZACOHAS). Atakueleza maana halisi ya kozi hii, fursa zake na kwa nini inaweza kuwa chaguo sahihi kwa mustakabali wako.

Usikose kutazama video hadi mwisho, kisha wasiliana nasi kwa maelezo ya udahili.

πŸ“ Location: Chamazi Mfenesini, Dar es Salaam.
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu udahili.

Usisahau kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii na Kwenye Youtube yetu ZANGO TV kwa elimu, fursa na taarifa za udahili.

25/08/2026

HERI YA SIKUKUU YA MAULIDI 🀲

ZANGO College of Health and Allied Sciences (ZACOHAS) inawatakia Waislamu wote duniani Maulidi yenye amani, baraka na furaha tele.

Je, unatafuta chuo chenye ada nafuu, malipo kwa awamu 4 au kila mwezi, pamoja na Hosteli Bure na Medical Checkup Bure? Karibu ZACOHAS.

πŸ“ Chamazi Mfenesini
🌐 Apply sasa: www.zacohas.ac.tz

πŸ“ž 0799117721 | 0799117718 | 0713407416 | 0757137379 | 0745632065 | 074632065 | 0717120575

Nafasi ni chache sana, wahi mapema!

17/08/2026

MKOP0 100% KUTOKA SERIKALINI! πŸ’°πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Unataka kusoma Health Information Science (Miaka 3) lakini unawaza kuhusu ada? Usikate tamaa! πŸ™Œ

APPLY LEO katika ZANGO COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (ZACOHAS) na sisi tutakusaidia kuomba mkopo wa elimu ya juu hatua kwa hatua hadi hatua za mwisho.

πŸ’― Mkopo wa hadi 100% unaweza kukusaidia kugharamia masomo yako kulingana na taratibu na vigezo vya serikali.

πŸ“š Health Information Science ni taaluma inayokupa ujuzi wa usimamizi wa taarifa za afya, mifumo ya kidijitali na takwimu katika sekta ya afya.

🏠 Hosteli BURE
🩺 Medical Checkup BURE
πŸ’° Ada nafuu na inalipwa kwa awamu nne au kila mwezi.

πŸ“ Tunapatikana: CHAMAZI MFENESINI, DAR ES SALAAM

πŸ“ž Wasiliana nasi leo:
πŸ“± 0799 117 721 | 0799 117 718
πŸ“± 0713 407 416 | 0757 137 379
πŸ“± 0745 632 065 | 0746 320 065 | 0717 120 575

🌐 Apply sasa: www.zacohas.ac.tz

⏰ Nafasi ni chache sana β€” WAHI MAPEMA!

ZACOHAS – Excellence and Qualitative Education Under God’s Glory.

17/08/2026

πŸŽ“πŸ’Š ALL THE BEST PHARMACEUTICAL SCIENCE!

Tunawatakia kila la heri wanafunzi wetu wa Pharmaceutical Science katika mitihani yenu ya mwisho! πŸ“šπŸ“

πŸ™ Mungu awatangulie, awape utulivu wa akili, hekima, kumbukumbu nzuri na uwezo wa kujibu mitihani kwa usahihi.

πŸ’ͺ Mungu awatangulie muweze kujibu mitihani vizuri na mfanye vizuri. Ameen!

Kumbukeni: kila juhudi mlizoweka darasani sasa zinaenda kuzaa matunda.

ZACOHAS tunawaamini na tunajivunia ninyi!

πŸ“ ZANGO COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (ZACOHAS)
πŸ“ Chamazi Mfenesini – Dar es Salaam
🌐 www.zacohas.ac.tz

πŸ“ž 0799 117 721 | 0799 117 718 | 0713 407 416
πŸ“ž 0757 137 379 | 0745 632 065 | 0746 320 065 | 0717 120 575

ALL THE BEST!
MUNGU AWATANGULIE! πŸ™

15/08/2026

Ukichagua zango college, umechagua Maisha bora ❀️
Wasiliana nasi leo, Nafasi ni chache mno!

15/08/2026

TUNAMSHUKURU MUNGU! KAMBI YA HUDUMA ZA AFYA BURE IMEFIKA MWISHO πŸ’™πŸ©Ί

Kwa moyo wa shukrani, Zango Health Management Company Limited, Zango College of Health and Allied Sciences pamoja na Zango Zaidi Regional Referral Hospital tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kukamilisha salama Kambi yetu ya Huduma za Afya Bure iliyofanyika Mbagala Kizuiani. πŸ™

❀️ Tunawashukuru sana wananchi wote mliojitokeza, mlioleta ndugu, marafiki na familia zenu, pamoja na kila mmoja aliyeonyesha ushirikiano katika kipindi chote cha kambi.

Tunaamini huduma tulizotoa zimekuwa sehemu ya kuimarisha afya na ustawi wa jamii yetu.

🀝 Zango tunarudisha kwa jamii!
Safari yetu ya kuwafikia wananchi na kutoa elimu pamoja na huduma za afya inaendelea.

πŸ“ž Kwa huduma, ushirikiano au mawasiliano zaidi:
πŸ“² 0799 117 721 | 0799 117 718
πŸ“² 0713 407 416 | 0757 137 379
πŸ“² 0745 632 065 | 0717 120 575

Asanteni sana kwa kuendelea kutuamini. ❀️
Zango Health Management Company Limited β€” Tunajali Afya Yako, Tunajali Jamii

12/08/2026

Huduma bado zinaendelea bado hatujamaliza! πŸ™Œ
K**a bado hujapata nafasi, usikose fursa hii.

Tunatoa huduma za:
βœ… Upimaji wa Presha (BP)
βœ… Upimaji wa Sukari
βœ… Upimaji wa Wingi wa Damu
βœ… Upimaji wa Uzito
βœ… Ushauri wa Lishe na Afya

πŸ“… Huduma zinaendelea hadi 15/08/2026
πŸ“ Chamazi Mfenesini – Dar es Salaam

🀝 Karibu wewe, familia yako, ndugu na marafiki.
Afya yako ni muhimuβ€”njoo upime bure, ujue hali yako ya afya na uchukue hatua mapema!

πŸ“ž Wasiliana nasi:
0799 117 721 | 0799 117 718 | 0713 407 416
0757 137 379 | 0745 632 065 | 0746 320 065 | 0717 120 575

🌐 www.zacohas.ac.tz

❀️ ZACOHAS – Tupo kwa ajili ya afya na ustawi wa jamii.

12/08/2026

🩺❀️ HUDUMA ZA AFYA BURE KABISA – SIKU 3 ZA MAANA!

Zango College of Health and Allied Sciences (ZACOHAS), kwa kushirikiana na Zango Zaidi Hospital, inaendelea kuwafikia wananchi kwa kutoa huduma za afya BURE kabisa katika kampeni yetu ya afya.

🎯 Watu zaidi ya 200 tayari wamepata huduma za afya bure ndani ya siku 3!

Na bado hatujamaliza! πŸ™Œ
K**a bado hujapata nafasi, usikose fursa hii.

Tunatoa huduma za:
βœ… Upimaji wa Presha (BP)
βœ… Upimaji wa Sukari
βœ… Upimaji wa Wingi wa Damu
βœ… Upimaji wa Uzito
βœ… Ushauri wa Lishe na Afya

πŸ“… Huduma zinaendelea hadi 15/08/2026
πŸ“ Chamazi Mfenesini – Dar es Salaam

🀝 Karibu wewe, familia yako, ndugu na marafiki.
Afya yako ni muhimuβ€”njoo upime bure, ujue hali yako ya afya na uchukue hatua mapema!

πŸ“ž Wasiliana nasi:
0799 117 721 | 0799 117 718 | 0713 407 416
0757 137 379 | 0745 632 065 | 0746 320 065 | 0717 120 575

🌐 www.zacohas.ac.tz

❀️ ZACOHAS – Tupo kwa ajili ya afya na ustawi wa jamii.

11/08/2026

🩺 SIKU YA PILI YA KAMBI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BURE INAENDELEA!

Je, tayari umeshapima afya yako? K**a bado, huu ndio wakati sahihi!

Zango College of Health and Allied Sciences (ZACOHAS) kwa kushirikiana na Zango Zaidi Regional Referral Hospital wanaendelea kukuhudumia BURE katika kambi maalum ya upimaji wa afya na huduma za ushauri wa elimu.

πŸ“ Mahali: Mbagala kizuiani, Kanisa la Wasabato, karibu na Soko.

Huduma zinazotolewa BURE ni pamoja na: βœ… Upimaji wa Presha (BP) βœ… Upimaji wa Sukari βœ… Upimaji wa Wingi wa Damu βœ… Upimaji wa Uzito na Ushauri wa Lishe βœ… Uchunguzi wa Magonjwa Yasiyoambukizwa βœ… Ushauri wa Kitaalamu kutoka kwa Madaktari na Wataalamu wa Afya βœ… Ushauri kuhusu Fursa za Kusoma katika Zango College

Usikose fursa hii! Njoo na mzazi, ndugu, rafiki au jirani yako ili naye apate huduma hizi muhimu bila malipo. Afya njema huanza kwa kufanya uchunguzi mapema.

πŸ“ž Wasiliana nasi: πŸ“² 0799 117 721 | 0799 117 718 πŸ“² 0713 407 416 | 0757 137 379 πŸ“² 0745 632 065 | 0717 120 575

Address

Chamanzi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zango College of Health & Allied Sciences posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share