Cza kayombo

Cza kayombo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Cza kayombo, School, lupingu, .

Tafiti nyingi zina thibitisha kwamba umbali.(Distance) ni sumu kubwa sana kwenye mahusiano ya watu iwe kabla ya ndoa au ...
27/12/2023

Tafiti nyingi zina thibitisha kwamba umbali.(Distance) ni sumu kubwa sana kwenye mahusiano ya watu iwe kabla ya ndoa au kwenye ndoa,

Umbali umewagharimu wapenzi wengi Sana ambao walipendana sana na hawakuwahi kudhani k**a wangewai kuachana kirahisi, ✍️

Bahati mbaya sana wahanga wakubwa sana wa umbali kwenye mapenzi ni wanaume kuliko wanawake mwenye ufahamu atafahamu 🙋‍♂️

28/09/2022
07/12/2018

Npo napambana na afya yngu still mungu ananipenda

14/09/2017

** Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha!
Mwanamke huyo akaamua kuandika barua inayosema "Samahani mume wangu nimeamua kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya mbali na wewe"
Barua hiyo akaiweka juu ya meza iliyokuwa chumbani.

Baadaye jioni, muda wa Mumewe kurudi
mwanamke huyo akajificha chini ya uvunguni wa wakitanda mule chumbani Mume alipoingia chumbani akakuta ile barua juu ya meza,akaisoma
kisha, akaandika maneno fulani kwenye ile ile barua, halafu akaanza kuimbaimba kwa furaha huku akipiga milunzi na akiwa anavua nguo. Akapiga simu
na akasikika akisema hivi "hello mpenzi, nina raha sana leo.. yule mwanamke nuksi ameondoka mwenyewe bila kumfukuza nakutuachia uwanja, jiandae
nakuja"Muda huo huo Mume akaondoka.
Mwanamke alipokuwa uvunguni akawa analia na kutokwa na machozi akaamua kutoka lakini amenyong'onyea na amelowa mashavu kwa machozi.

Akasogea pale ilipo barua na akataka kujuamumewe aliandika kitu gani kwenye ile barua.
Akakuta maneno haya "nimekuona miguu yako uvunguni tafadhali andaa chakula nina njaa sana mumeo, ila nimetoka kidogo nafuata maziwa nilisahau kupitia. Nakupenda sana mke wangu.."

Hivi nani kampata mwenzakee?
1.Mume
2.Mke

K**a umeipenda share na mwenzako
ujumbe aupate.

*USISAHAU KULIKE PAGE*

ma best wagu wa kihome      t@ukipambana na hali yetu hahaahhhahahahahaahahahahahahahahhaah :))))))
10/08/2017

ma best wagu wa kihome
t@ukipambana na hali yetu hahaahhhahahahahaahahahahahahahahhaah :))))))

20/06/2017

Maisha cku zote hayatakuwa marahisi k**a hakuna wa kukupa chngamoto za maisha tupige kaI cku moja utaonekana na wew ni mtu mbele za watu

24/02/2017

Katika maisha jambo moja ni kosa la muda mrefu ila kuwa mwangalifu na maamuzi uyatoayo ucje jutia maamuzi

Address

Lupingu

Telephone

0683584002

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cza kayombo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Cza kayombo:

Shortcuts

  • Want your school to be the top-listed School/college?

Share