Afwan Online Tv

Afwan Online Tv Hii ni channel ya dini yenye kukujuza ewe ndugu yangu muislamu kuhusu dini yako kwa mawasiliano zaidi
call:0677776761
WhatsApp: 0746551732

09/08/2026

Dunia Ya Leo Mambo Yamebadilika Kichwa Chini Miguu Juu.

25/07/2026

HII SI YAKUKOSA!....
OUTING, With Ukhty Fatma Mdidi. Somo na Mwali Season 7, Itakayofanyika Tarehe 5.sept.2026 Katika Ukumbi wa Starlight Hall, Mnazi mmoja D.s.m
MADA: Ni,Mke Mwema, Ndoa njema kwa Familia Imara. Zitakazo Wasilishwa na Ukhty Fatma Mdidi & Madam Leila Aboubakar

21/07/2026

Unatafuta huduma ya uhakika, ya haraka na yenye usalama wa hali ya juu kusafirisha mizigo yako kutoka Oman kuja nchi za Afrika (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na kwingineko)?

Al Jazeera Cargo tuko hapa kuhakikisha mzigo wako unamfikia mlengwa ukiwa salama 100%. Tunahudumia mizigo ya aina zoteβ€”iwe ni ya biashara au binafsi.

πŸ”Ή Huduma Wetu Zinalenga:

Usafirishaji wa Ndege (Air Cargo) na Meli (Sea Cargo).

Ufungashaji bora na salama wa mizigo.

Ufuatiliaji na uaminifu mkubwa hadi mzigo unawafikia wateja.

πŸ“ž Wasiliana Nasi Sasa:

Oman: [+9687736082/+9687736082]

Afrika: [Call +255749494935/WhatsApp +255777226522]

Ofisi Zetu: [Ilala Dar es Salaam]

πŸ“Œ Usisahau KUSUBSCRIBE, KULIKE na KUCOMMENT ili upate taarifa zetu kila tunapoweka huduma mpya!

Kenya Uganda
π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2025 Afwan Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.

16/07/2026

"Kutumia tendo la ndoa k**a silaha au maslahi ya kumuangamiza mwanaume..." ⚠️
​Sheikh Diwan Al Ghazal anafungua ukurasa mwingine wa ukweli mchungu unaotokea katika mahusiano na ndoa nyingi za sasa. Tendo la ndoa lililokusudiwa kuleta utulivu, mapenzi, na amani, leo hii linatumiwa na baadhi ya watu k**a mtego wa kiuchumi na kisaikolojia.
​Sikiliza kwa makini mawaidha haya, kisha nishirikishe maoni yako: Je, nini chanzo cha tabia hii katika jamii yetu ya sasa? πŸ‘‡πŸ½
​Hashtags:
Uislamu NdoaNaMahusiano Maadili

16/07/2026

"Kile unachokula wewe mwanaume, hakikisha na mkeo anakula hicho hicho bila kupunguza..." 🍽️✨

​Maneno mazito yenye hekima na mafunzo makubwa kutoka kwa Sheikh Diwan Al Ghazal kuhusu haki, upendo, na usawa ndani ya ndoa. Sio tu swala la chakula, bali ni namna tunavyowajali na kuwaenzi wake zetu.

​Sikiliza kwa makini mawaidha haya, kisha nishirikishe maoni yako hapa chini. πŸ‘‡πŸ½

​Hashtags:

Familia HakiZaMke MaishaYaNdoa

15/07/2026
15/07/2026

Gusa Link Hapo Juu Kwenye Bio, Itakupeka Moja kwa Moja Youtube.

18/04/2026

Unaishije bila ya kunukuia wewe, suluhisho ni hili sasa

31/03/2026

Hasira ni ishara ya mtu mwenye vidonda vya tumbo sikiliza dalili hizi.

❀️

trending mawaidha trendingreels reels tanzania mawaidhayenyemanufaa trendingreelsvideo viral millardayoupdates

31/03/2026

Anayejua dawa amsaidie asiyejua, hizi ni dalili za mtu mwenye atheri ya maradhi ya FIGO.

Address

Buza
Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afwan Online Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category