Top 10 Most Valuable Private Companies π°
1. πΊπΈ SpaceX: $1.25 Trillion
2. πΊπΈ OpenAI: $500 Billion
3. π¨π³ ByteDance: $480 Billion
4. πΊπΈ Anthropic: $350 Billion
5. πΊπΈ Stripe: $107 Billion
6. πΊπΈ Databricks: $100 Billion
7. π¨π³ Ant Group: $79 Billion
8. π¬π§ Revolut: $75 Billion
9. π¨π³ Binance: $62 Billion
10. π¦πΊ Canva: $42 Billion
Source: Based on latest reports from Reuters, CNBC and Bloomberg
Research and write up
we are dealing with research, reports, proposals and write up for those who are starting up business
Utafiti inaonesha wanawake wengi hurubuniwa Kwa sababu hawana msimamo thabit na hawajiamini katika watendayo
70% ya wanawake walioachika wamesema walidanganywa na marafiki
60% ya mabinti waliopata mimba wanasema walirubuniwa na wavulana si utashi wao
07/07/2017
Bradley afariki dunia, hebu mjue mwa kupitia
Bradley Lowery: Sunderland fan dies after long illness - BBC News The six-year-old struck up a friendship with striker Jermain Defoe after being diagnosed with cancer.
07/07/2017
MTOTO ALIYEZALIWA KWENYE NDEGE USIKU, APEWA OFA YA KUSAFIRI BILA MALIPO MILELE, WAJUA NI WAPI UKO
Baby born mid-flight is given free travel for life by airline
SHE DIED
Kumi Bora kiuchumi Africa 2016
New York, Marekani.
IKIWA na eneo la kilomita za mraba milioni 30.2, Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani. Pia, ni bara la pili kwa idadi ya watu likiwa ni watu wanaokadiriwa kuwa bilioni moja, kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2013.
Algeria inashika nafasi ya kwanza kwa ukubwa wa eneo na Nigeria ikiongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu. Mwaka huu, Afrika Kusini imerejesha ufalme wake katika maendeleo ya kiuchumi baada ya kupitwa na Nigeria mwaka 2014. Taarifa zaidi kuhusu uchumi wa nchi Afrika
1. Afrika Kusini.
Kasi ndogo ya ukuaji wa uchumi wa dunia inaendelea kuisumbua Afrika Kusini. Wakati asilimia 25 ya raia wake hawana ajira, ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa zaidi la kijamii nchini humo. Ukuaji wa uchumi ni asilimia 1.5 kwa sasa na uchumi wake una thamani ya dola za Marekani bilioni 301 mwaka huu.
2. Nigeria.
Inachukuliwa k**a nchi ya uchumi mchanganyiko. Soko lake la mitaji ni la pili kwa ukubwa Afrika. Baada ya kufanya marekebisho ya uchumi, ukubwa wa uchumi uliongezeka kwa asilimia 89. Kwa sasa uchumi wa Nigeria una thamani ya dola za Marekani bilioni 296.
3. Misri.
Baada ya kuangushwa kwa Rais Mohamed Morsi mwaka 2013 nchi hiyo iliingia katika mkanganyiko. Ukuaji wa uchumi umekuwa juu kidogo ya asilimia mbili kwa mwaka. Uchumi wake ni miongoni mwa chumi kubwa na unaotegemea nyanja nyingi katika nchi za Mashariki ya Kati. Utalii, kilimo, huduma na viwanda vinachangia katika uchumi wa nchi hii kwa kiasi kikubwa. Thamani ya uchumi wa Misri ni dola za Marekani bilioni 275.748.
4. Algeria.
Rasmi inajulikana k**a Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria, taifa hili ndiyo kubwa zaidi kwa mita za mraba barani Afrika. Uchumi wake hukua kwa wastani wa asilimia tatu kwa mwaka. Uchumi unachangiwa na uwekezaji wa taasisi za serikali. Ukosefu wa ajira uko chini ya asilimia 10. Thamani ya uchumi wake ni dola za Marekani bilioni 165.974 mwaka 2016.
5. Morocco.
Uchumi wa taifa hili unachangiwa zaidi na kilimo. Ina uchumi wenye thamani ya dola bilioni 108.096 mwaka 2016.
6. Sudan.
Uchumi wa taifa hili unachochewa na madini, kilimo na mafuta. Sudan ya Kusini huilipa Sudan ada kutokana na mabomba ya mafuta yanayopita Sudan kutoka Sudan Kusini. Uchumi wa Sudan una thamani ya dola bilioni 93.729 mwaka 2016.
7. Angola
Inajulikana k**a Jamhuri ya Angola, nchi hii ni mwanachama wa Umoja wa Afrika. Ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa mafuta ghafi barani Afrika. Uchumi wake hukua kwa wastani wa asilimia kati ya 5 hadi 7 kwa mwaka. Ukuaji huo wa uchumi huchochewa na kilimo, uvuvi, ujenzi na uzalishaji wa viwanda. Uchumi wake una thamani ya dola 81.497 kulingana na data za mwaka 2016.
8. Ethiopia.
Ukuaji wa uchumi wa Ethiopia ni wa kasi. Mwaka 2012/2013 ulikuwa kwa asilimia 9.7. Ukuaji wake umekuwa wa kasi katika kipindi cha muongo mmoja uliopita. Thamani ya uchumi wake kwa sasa ni dola bilioni 67.435 mwaka 2016.
9. Kenya.
Uchumi wa Kenya hukua kwa kati ya asilimia nne hadi sita kwa mwaka. Uchumi huchochewa na sekta za utalii, fedha, kilimo na ujenzi. Thamani ya uchumi wake kwa sasa ni dola bilioni 64.688 mwaka 2016.
10. Tanzania.
Ukuaji wa uchumi wa asilimia saba kwa wastani unachochewa na sekta za mawasiliano, fedha, usafirishaji, kilimo, ujenzi na uzalishaji viwandani. Uwekezaji kwenye miundombinu unaweza pia kuchochea ukuaji wa uchumi. Thamani ya uchumi wa Tanzania ni dola bilioni 45.899 mwaka 2016.
11. Tunisia.
Kutokana na matatizo ya kisiasa nchini humo, uchumi wake umeharibika sana katika kipindi cha miaka michache iliyopita. Thamani yake kwa sasa ni dola bilioni 43.989 mwaka 2016.
12. Congo DRC.
Madini, biashara, kilimo na ujenzi ni miongoni mwa wachangiaji wakubwa wa ukuaji uchumi wa taifa hili la Afrika ya Kati. Uchumi ulikuwa kwa kiwango cha asilimia 8.1 mwaka 2013, ukichangiwa zaidi na madini. Uchumi wa taifa hili kwa sasa una thamani ya dola bilioni 41.207 mwaka 2016.
13. Libya. Vita vya wenyewe kwa wenyewe vilipelekea NATO kuingilia kati mwaka 2011 viliiathiri sana nchi hiyo kiuchumi.
Kenya imekuwa maarufu zaidi tokea nyuma
Lakin umaarufu wa kenya umeongezeka sana na kutambulika kimataifa
Kutokana na rais Obama kutokea kenya
1. TRA TPA TAKUKURU, tumeshuhudia uwajibikaj katika maeneo hayo mpaka ikapelekea kusimamishwa kwa baadhi ya wakurugenzi, na utaratibu wa kazi kubadilishwa, eg BADE, HOSEA
2. MAPATO, mapato yameongezeka, ndan ya miez 3 tu imekusanywa takriban tril. 5.3, ni kuwa kavunja rekodi,
3. AFYA, muhimbili na sehem nyingnezo uwajibikaj umeongezeka ufanisi, kuongezeka vitendea kazi,
4. ELIMU, elimu ya msing na sekondari imekuwa bule, pia wanaonufaika na ufadhili wa elimu ya juu wameongezeka
5. UWAJIBIKAJI, kila ofisi za umma na binafsi kumekuwepo uwajibikaj mkubwa
6. UWEKEZAJI, unaendelea ambapo wazawa wamevutiwa na kuaswa kuungana kuwekeza,
7. KUBANA MATUMIZI, kupunguza ukubwa wa serikali na matumizi yasiyo na tija,
8. BENK NA FEDHA ZA UMMA, tumeona maagzo yaliyotolewa kwa benk zote na kuyatekeleza
9. KUTOSAFIRI NJE OVYO, kapunguza na pengine kufuta safari zisizo na tija za nje
Magufuli Will Win 2015 Election By 57% While Lowassa 34% Anna Mgwira 8% And Others 1% , The Cabinet Of Ministers Will Consist Of Not More Than 20 Ministers,
Prime Minister Might Be Either Mwakyembe Or Muhongo If Not Lukuvi,
Parliament Speaker-musa Zungu,
Minister Of Finance-mwigulu Nchemba
Minister Of Home Affairs, Either Kagashek Or Deo Filikunjombe,
Others Can Be, Idd Azan, Wasira, Aggrey Mwanri, Nchimbi Through Special Seat, This Is My Prediction According To Research Done,
JE NCHEMBA ANAWEZA KUYATEKELEZA ?ANAYOYASEMA
Tanzania is among countries whose citizens think that are special compared to others while this is totally wrong
How can you say that Tanzanians have uniqueness compared to other while
Only 5% of Tanzanians (most of foreigners aquired citizenship) can get all three meals, fees of their children, money to pay for their other expenses ,are able to know what is going on in the world through media , here in group we have presidents and vice presidents, prime ministers and all illegal foreigner we pretend to call them investors,
20 % can get their meal , money , transport and other but they don't have decisions about future time ,that's why when they get money and chance the only thing is to be corrupt against poor, here we have member of parliament, district commissioners, lawyers and others
40% of Tanzanians they get money but through had time it take a time for them to earn little while using a lot of energy, here we have teachers, office attendants ,drivers, engineers, clerks, and other technicians in general,
20% this group depends on others to get their basic needs. In order to run their daily life, Here we have, students, widows, retired persons, old mans and disabled,
15% they don't know where to get assistance to run their daily activities , and most of them are being used by politicians as their support to rule the area, here we have people from in land, cities, in employed, and part time workers,
Compared to Rwanda Kenya Sudan and other African countries we still need to invest more effort to curb this catastrophic thing,
This can cause the loss of what we thing is uniqueness we have(peace), this can perish and fade away,
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
255