08/08/2026
๐ Karibu Banda la I Go Abroad Inc. katika Maonesho ya Nanenane, Dodoma! ๐น๐ฟ๐
Tunatangaza udahili wa Dr. K. N. Modi University, India kwa bei maalum ya USD 1,495 (โ TZS 3,999,000).
๐ฆ Kifurushi kinajumuisha:
โ
Ada ya masomo
โ
Malazi
โ
Milo 3 kwa siku
โ
Tiketi 2 za ndege
๐ Nafasi zinapatikana kwa ngazi zote:
โข Cheti
โข Diploma
โข Shahada
โข Uzamili
โข Uzamivu (PhD)
๐ฏ Kozi mbalimbali zinapatikana!
๐ Pia tunafanya udahili kwa nchi nyingine mbalimbali duniani, ikiwemo India, China, Italy, Canada, USA, UK, Poland, Hungary, Germany, Australia na nchi nyingine kulingana na kozi na sifa za mwanafunzi.
๐ Tembelea banda letu Nanenane, Dodoma upate ushauri wa bure na kuanza mchakato wako wa udahili.
๐ WhatsApp: +255 752 052 052
I Go Abroad Inc. โ Lango Lako la Elimu ya Kimataifa. ๐โ๏ธ๐