19/08/2025
Chuo Cha Afya na Sayansi Shirikishi EXCELLENT ndio CHAGUO lako sahihi kwa sasa ili kutimiza ndoto zako. Chuo Cha Afya EXCELLENT wanazo fursa ya kusoma cheti na diploma kwa MKOPO WA ELIMU kutoka serikalini pamoja na hela ya kujikimu kwa kozi hizi;- Health Records and Information Technology, Medical Laboratory, Clinical Nutrition, Physiotherapy, Diagnostic Radiography, na Clinical Dentistry. Lakini pia Chuo cha Afya EXCELLENT kinatoa kozi za Clinical Medicine, Pharmaceutical Sciences, Social Work, Community Development, na Nursing and Midwifery. Pia huduma za HOSTEL ni BURE, na malipo ya ada ni kwa awamu nne kwa mwaka au kila mwezi, na unaweza kuanza chuo kwa Tshs 250,000.00 tu. Kwa msaada zaidi ili kutuma maombi piga simu au tuma ujumbe kwa kampasi ya Mwanza 0629657360, Dar es salaam 0677054628, Mbeya 0759426158 , Kibaha 0755979992 na Arusha 0767456195. Au tuma maombi kwenye tovuti www.excellent-college.ac.tz