Masta wa sendo kali

Masta wa sendo kali

Share

Lengo la kuunda ukurasa huu ni kutoa Elimu,TIBA,ushauri na tahadhari juu ya Magonjwa ya kuambukiza na yasiyokuwa ya kuambukiza.

Nakuletea mwenyewe sendo kali za kiume hadi mlangoni kwako uchague mwenyewe inayokutosha kwa waliopo Dar es salaam tu,nakufuata na aina mbalimbali za sendo na namba za kutosha uchukue kile moyo unachokitaka. TIBA pekee ambayo itakuwa ikielezewa katika ukurasa huu ni TIBA LISHE.Tiba hii imeegemea zaidi upande wa Matunda pamoja na mbogamboga,jinsi ya kutumia virutubisho hivyo kwa usahihi ili kupata matokeo bora ya kiafya

Photos from Masta wa sendo kali's post 05/05/2026

USIKOSE! ��
Sendo kali za kisasa zimewasili MASTER STORE �

� Quality ya juu sana
� Zinakaa vizuri mwilini
� Bei rafiki kabisa �

� Inafaa kwa:
• Nyumbani
• Mazoezi
• outing
� Nunua leo uonekane tofauti!

� Order sasa: 0744223213 (Call/WhatsApp)

� Kariakoo – mtaa wa Narung'ombe na Congo
�Delivery Bure kwa waliopo Dar es salaam pekee.

Tsh 30,000/= Rejareja
Tsh 28,000/= Jumla kuanzia pea tatu.

Photos from Masta wa sendo kali's post 14/03/2026

Maboss zangu hii sendo sitaki kuipamba kwa lolote maana inajieleza yenyewe,fanya kupiga simu 0744223213 au Whatsapp.

Bei Tsh 40,000/= tu
Location:-Kariakoo,Likoma+Muhonda
Delivery:-Bure kwa wateja waliopo Dar es salaam
Mkoani:Nakutumia uhakika 100%

29/11/2019

MADA;- VILE ULIVYO,NI MATOKEO YA VYAKULA UNAVYOKULA.

*Wajadili-umma.*

Mshauri;-Chakula ni dawa ukila kwa mpangilio,chakula ni sumu ukila bila utaratibu.

Mzazi;- Wanangu ninawalisha chakula pale wanapohisi njaa,siyo mara tatu kwa siku.

Mshauri;-epuka kula chakula kigumu usiku,utaathiri (sleeping cycle),endapo unachelewa kuamka mapema,rekebisha aina ya ulaji wako wa usiku.

Daktari:-Hivi karibuni,nchi yetu ilionywa juu ya hatari ya magonjwa yaletwayo na ulaji wa kisasa.

Calvin:-Dokta,mimi nimeathiriwa na kisukari,hili lipoje kitaalam?

Daktari;-Umeathirika kiungo kinaitwa kongosho,humo ndimo blood glucose ya mwili wa mwanadamu inapolinganishwa.

Calvin;-ahsante,lakini nimeanza klinik tayari

Daktari;- Hongera,klinik tutakuchoma sindano za insulin,tutakupatia vidonge vya kushusha blood glucose,utakapotoka vidonda wahi mapema tukufanyie upasuaji kuondoa kiungo hicho.

Calvin;-Kuna namna yoyote ya kurudisha uhai wa kongosho Dokta?

Daktari;-ndiyo,tumia lishe kamili masaa 24,siku saba za wiki,au ulizia Round the clock nutrition kwa Mr Kingu.

Mr Kingu:-(akisimama),Round the clock nutrition kwa mgonjwa wa kisukari hufanya kazi ya ku-ripea(repair) au kurudisha uhai wa kongosho kwa muda wa siku 90 tu,hapo mgonjwa wa kisukari ataweza kuishi bila kuhudhuria klinik ya sindano,vidonge au upasuaji tena.

Calving;-nawezaje kupata round the clock nutrition mr Kingu?

Mr Kingu;-Wasiliana na customer care (wahumu kwa mteja)
0789844879
0713875789

Rose:-Dokta Mimi nina changamoto ya uzito na tumbo langu limebadilika baada ya uzao wangu wa tatu,pia nimewahi kutumia nyama nyekundu na mayai ya kuku wa kisasa na sindano za uzazi wa mpango.

Daktari:-Round the clock nutrition itakusaidia kuchoma mafuta mabaya mwilini na kutoa sumu mwilini.

Ashura,subira,Asha,mama goodluck,mama issa;- Dokta sisi tuna changamoto ya kutopata ujauzito.

Mr Kingu;-elimu ya bure juu ya Round the clock nutrition inapati bure,karibu eleza tatizo lako usaidiwe
0789844879
0713875789
Ardhi university- DSM

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam