Tuwafunze Swala

Tuwafunze Swala

Share

Program maalum inayojihusisha na utoaji wa mafunzo ya utekelezaji wa ibada ya swala kwa vitendo. حي علي الصلاة

22/02/2024

MASHINDANO YA UTUNZI WA MASHAIRI NA INSHA

⏺️ Tuwafunze Swala Initiative inawaalika wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari kushiriki katika mashindano ya utunzi wa mashairi na insha!

⏺️ Mada yetu ni: Ibada ya swala na maendeleo kwa jamii.

⏺️ Kushiriki ni rahisi, tuma kazi yako katika mfumo wa PDF kupitia WhatsApp namba: +255 735 393 991 kabla ya tarehe 31 Machi 2024.

Kumbuka:-

📌 Tumia lugha moja tu kati ya Kiswahili au Kingereza
📌Weka taarifa zako kamili ikiwa ni pamoja na Jina lako, Shule pamoja na Kidato au Darasa.

⏺️ Tunahimiza kila mtu kusambaza ujumbe huu kwa marafiki na famili ili kupata idadi nzuri ya washiriki.

⏺️ Wasiliana nasi kupitia kurasa za mitandao ya kijamii, au tuandikie kupitia baruapepe: [email protected]



10/11/2023

.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Dar Es Salaam