Aplus communications

Aplus communications

Share

OUR CORE VALUES. Creativity. Trustworthiness. Through trustworthiness; our company maintains strong relationship with partners and clients. Confidentiality.

A PLUS COMMUNICATIONS is a Tanzania based and registered agency in integrated marketing communications, events planning and management as well as social and behavioral change communications campaigns. A PLUS COMMUNICATIONS
A plus communications is a Tanzania based and registered company dealing as an agency in integrated marketing communications including social marketing, public relations, events

31/08/2022

Working with experienced individuals in the market will integrate and smooth your communications in line with business growth and services assurances as well as being organized, presentable and results oriented for a project.

23/09/2021

KARIBUNI WOTE, MUSEUM AND A HOUSE OF CULTURE, 06 SHAABAN ROBERT STREET, DAR ES SALAAM, 24th SEPTEMBER, 2021.

08/09/2021

Katika Kuhakikisha Makumbusho Na Nyumba ya Utamaduni Tanzania wanagusia tamaduni za watu wote Na kuwapa watu ladha kutoka katika Tamaduni mbali mbali Duniani, Kwa Kushirikiana na Tanzania Philharmonic Society, wanakuletea, "CLASSICAL MUSIC CONCERT"

Karibuni Makumbusho Na Nyumba ya Utamaduni Tanzania, 06 Mtaa wa Shaaban Robert, Dar es salaam, tarehe 24 September, 2021, Kuanzia saa 1 kamili Usiku mpate faraja kwenye Show Hii Maalumu kwaajili ya watu wastaarabu, Njoo wewe na Mwenzako, unaweza ukapata Tiketi yako kwa kupitia App ya Nilipe au Ukafika Makumbusho ya Taifa kujipatia Tiketi yako, kwa maelezo Zaidi piga number +255 713 616 367 au WhatsApp number +255 624 351 914

02/09/2021

In the making of Tanzania BOOK FAIR 2021

31/08/2021

Mkurugenzi wa Kampuni ya A PLUS COMMUNICATIONS Bwana Humphrey Millinga (kulia) akiwa na ofisa kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania Bwana Peter wakati wa kumkabidhi zawadi ya kitabu mshindi wa shindano la kusoma kitabu Mwanafunzi wa shule ya Msingi Mikocheni 'A' Angel Albert, kwenye Maonesho ya Vitabu Tanzania 2021 yaliyofanyika kwenye viwanja vya Makumbusho Jijini Dar es salaam.





Photos from Aplus communications's post 31/08/2021

Watoto wakifundishwa kuchora picha kwenye Maonesho ya Vitabu Tanzania 2021, hakika Maonesho haya yamekua na faida kubwa kwa watoto na makundi mbali mbali ya Watu waliofika kuhudhulia kwenye Maonesho haya.

Photos from Aplus communications's post 28/08/2021

TANZANIA BOOK FAIR 2021 has been succesfully handled.


22/08/2021

Museum Art Explosion kwa kushirikiana na A+ Communications wanakuletea maonesho ya VITABU TANZANIA (TZ BOOK FAIR 2021)

Unakaribishwa wewe Mpenzi wa vitabu (Book Lover) , Kijana, Mwanafunzi, Mzazi, Muandishi wa vitabu, riwaya, filamu, hadithi, muziki na kazi za sanaa kiujumla, Karibu ujumuike na wana lengo wenzako kwenye kulijenga taifa .

🔰Yatakayojiri🔰kwenye maonesho haya ni :
-
🔸Uuzaji wa Vitabu
🔹Kongamano
🔸Semina
🔹Michezo ya Watoto
🔸Maonesho ya Jukwaani
🔹Usomaji wa vitabu vya hadithi kwa watoto
🔸Art and Craft
-
Ni kuanzia tarehe 26 mpaka 28 August, 2021 mahali rasmi ni Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, 06 Mtaa wa Shaaban Robert Dar es Salaam, Maonesho haya ni bure kuanzia Saa 3 kamili Asubuhi mpaka Saa 12 Jioni kwa siku 3 mfululizo.
-
Pata nafasi ya kujisajili kwenye maonesho haya kwa kwakupiga simu namba 0624 351 914 au 0713616367

Tanzania Book Fair 2021, 📚 SOMA VITABU; ONGEZA MAARIFA 🧠🤲🏾.
-
Maonesho haya yamedhaminiwa na MUSEUM ART EXPLOSION, Makumbusho Ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, A+ Communications, Azam Media, Magomeni Ice Cream na Art Warrior


Photos from Aplus communications's post 10/08/2021

Uhuru FM this morning.

Tanzania Book Fair 2021
"READ BOOKS; INCREASE KNOWLEDGE"

A PLUS COMMUNICATIONS is the co-organizer of Tanzania Book Fair Event 2021.

24/07/2021

JIKINGE NA UWAKINGE UWAPENDAO NA UGONJWA WA VIRUSI VYA KORONA (UVIKO 19)

21/07/2021

We wish youl all, Eid-Al-Adha, Mubarak.

28/10/2020

TUNAWATAKIA WATANZANIA WOTE UCHAGUZI MWEMA NA WENYE AMANI.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Dar Es Salaam