Mbezi Inn Secondary School

Mbezi Inn Secondary School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mbezi Inn Secondary School, Mshik**ano, Mbezi, Dar es Salaam.

25/10/2025

Salamu za kipekee kwa mashabiki bora wageni! Kenny Mangaitema

08/02/2025

Hamjambo wanangu. Hili jukwaa lipo huru kutoa taarifa mbalimbali zinazohusiana na wanajamii wa MBEZI INN. ZA FURAHA NA CHANGAMOTO. Mimi baba yenu naona watu wanaongezeka ila taarifa za FURAHA na CHANGAMOTO sizioni humu. Najua makundi yapo mengi ila hili ni la wote halijalishi umemaliza mwaka gani. Hebu liwekeni hai kwa taarifa mbalimbali. MBEZI INN NI MTANDAO KWA SASA

🚨TANZIA🚨Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mwanambezi inn mwenzetu ISAYA FESTO ambaye alimaliza mwaka ...
02/11/2023

🚨TANZIA🚨
Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mwanambezi inn mwenzetu ISAYA FESTO ambaye alimaliza mwaka 2013 Mbezi Inn.

Msiba upo kimara baruti tujumuhike na familia kwaajili ya kumsindikiza ndugu yetu, mazishi yatafanyika tarehe 3/11/2023.. (Ijumaa)

Kwa maelezo zaidi na kuwakilisha rambirambi zetu tuwasiliane na Marco Mzumbe kwa namba 0757736809
Isaya

Picha ni Wadau wa Mbezi Inn Secondary School Mwisho wa event hii ni mwanzo wa event nyingine kubwa sanaaa usikae mbali k...
29/07/2023

Picha ni Wadau wa Mbezi Inn Secondary School

Mwisho wa event hii ni mwanzo wa event nyingine kubwa sanaaa usikae mbali kwenye page zetu na official group letu la WhatsApp

Mechi kali sana jana tulishuhudia madogo wapo vizuri sana walitaka kutuhaibisha kwa kutupiga mabao matatu ya chapu chapu...
29/07/2023

Mechi kali sana jana tulishuhudia madogo wapo vizuri sana walitaka kutuhaibisha kwa kutupiga mabao matatu ya chapu chapu ila tulifanya come back ya magoli yote na mpira ukaisha tatu tatu

Picha ni baadhi ya matukio ya mechi ya jana

Tunashukuru kwa michango yenu tulifanikiwa kuwapatia zawadi zetu (Jezi, Mipira, saa ya ukutani na Tauro za k**e) asanten...
29/07/2023

Tunashukuru kwa michango yenu tulifanikiwa kuwapatia zawadi zetu (Jezi, Mipira, saa ya ukutani na Tauro za k**e) asanteni sana

28/07/2023

Vibe k**a lote leo hiyo🔥👏👏

Hii ya leo ilikua babu kubwa haijawahi tokea kongole kwenu nyote kwa kufanikisha hii event ifanikiwe kwa 100%, walimu wa...
28/07/2023

Hii ya leo ilikua babu kubwa haijawahi tokea kongole kwenu nyote kwa kufanikisha hii event ifanikiwe kwa 100%, walimu wamefurahi pia wanafunzi wamefurahi
Picha baadhi ya matukio ya siku ya leo

Matokeo ya mechi kali sana iliisha kwa kutoshana jasho mabao matatu kwa matatu vijana waliwachapa kwanza kaka zao mabao matatu ya chapu, Utu uzima dawa malegend wa mbezi inn walirudisha magoli yote matatu na mechi ikaisha 3-3

🚨RATIBA EVENT YA KESHO MBEZI INN🚨11:00am (saa tano kamili asubuhi)- Kuwasili mbezi mwisho na kuanza safari ya kwenda mbe...
27/07/2023

🚨RATIBA EVENT YA KESHO MBEZI INN🚨

11:00am (saa tano kamili asubuhi)- Kuwasili mbezi mwisho na kuanza safari ya kwenda mbezi inn

11:30am (saa tano na nusu asubuhi)- Kuwasili Mbezi Inn Secondary School na kukutana na wanafunzi na walimu kwa ajili ya kusalimiana na kugawa zawadi zetu

12:30pm (saa sita na nusu mchana) tutaanza bonaza letu la michezo mbali mbali……………….

………..to be continued

Kwa mawasiliano zaidi na kuchangia chochote kitu wasiliana na event coordinator Marco Mzumbe 0652 988 181



“USIKOSE USIKOSE KESHO IYOOO MAPEMAAA”
Tukutane Mbezi Inn woteee

K**a unakumbuka mchezaji yeyote apo mtaje kwenye comment😂

Address

Mshik**ano, Mbezi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbezi Inn Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share